Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

JAMANI EEE

Nyie wanawake mnaungana huko team roho mbaya mnapretend to be holier than the pope himself!
Subirini siku Mercy nae akiamua kumwaga mafaili yake, mtapoteanaaaaa

You guys are not saints hahaaaaa!

---team MOTP---
Ntafurahi mnooo
 
"Wanawapenda kinyama" huo upendo wenu kwakweli ni wa wanyama. Hakuna upendo wa kibinadamu wa aina hiyo, huwa mnajifariji tu kuwa mnawapenda ila hapo tena hamna upendo.
Mwanamke mmoja miaka yote anachosha nikiwa na mwingine nabadilisha ladha, asikuambie mtu michepuko inaboresha ndoa .
 
Back
Top Bottom