sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
- #21
Ni kiburi cha ujivini tu,Mazoea tu, na wanaamini arusha kumejitosheleza kila kitu....zone ya arusha huwa sio wasanii tu bali na wengine hawaamini katika dar, wao wanaona dar ni extra kwa mambo yao.
Kwa studio zipi hapo Atown mtu atavuma hii Tz ? Joh Makini kaimba sana hapo Arusha ila kapatia jina Dsm, Janjaro kaimba hapo Atown ila kapiga mshindo dsm, Lord eyes nae katobolea Dsm, list inaendelea tu.
waache hio roho ya umaskini jeuri, Mtu unaweza kufanya kazi zako Dsm lakini haimaanishi umeikacha Arusha, kufanya mziki wa malengo kwa mazingira ya Arusha ni ngumu sana, labda uwe unataka tu ule umaarufu wa mitaa ya Arusha
Namjua Izzo B kitambo wa Mbeya nae alisumbua Mbeya lakini nje ya hapo hakuna kitu, Alipohamia Dsm ndio aka shine kitaifa