Frank Hood
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 597
- 1,374
Baddes
Mimi sijui wewe ulikua mdau wa muziki miaka hiyo hao wasanii wanachomoka.. ila nilimfahamu PNC nikiwa Iringa huku yeye akiwa Mwanza, sasa Mwanza mpaka Iringa ni umbali mkubwa sana na hakukua na whatsapp wala facebook. Hiyo ni ushuhuda kuwa walitoboa Tanzania nzima.
Mwaipaya na Abubakari Sadick wameicheza ngoma hiyo ya mama, na ikawa kwenye chat za top 10 nk
Hata Sajna, alijulikana Tanzania nzima kwa wimbo wa Iveta ambao aliurekodi Mwanza na Kid Bway ndipo akaja Dar na kuendeleza umaarufuSajna na Iveta nakubaliana na ww ila hao wengine hapana...ni kama baddest alivyotamba na nyimbo yake akiwa mbeya ila nyimbo ilipata umaarufu sehem kubwa ya nchi au tuseme ilitamba na dar es salaam piaMimi sijui wewe ulikua mdau wa muziki miaka hiyo hao wasanii wanachomoka.. ila nilimfahamu PNC nikiwa Iringa huku yeye akiwa Mwanza, sasa Mwanza mpaka Iringa ni umbali mkubwa sana na hakukua na whatsapp wala facebook. Hiyo ni ushuhuda kuwa walitoboa Tanzania nzima.
Mwaipaya na Abubakari Sadick wameicheza ngoma hiyo ya mama, na ikawa kwenye chat za top 10 nk
Hata Sajna, alijulikana Tanzania nzima kwa wimbo wa Iveta ambao aliurekodi Mwanza na Kid Bway ndipo akaja Dar na kuendeleza umaarufu tu.