Weka hapa msanii alieweza kupata umaarufu nchini akiwa bado yupo mkoani

Weka hapa msanii alieweza kupata umaarufu nchini akiwa bado yupo mkoani

Boss kuhusu belle9 studio inaitwa rocker tz records,tris alikua producer,.kwa kuongezea kuna hussein machozi alitoka akiwa tetemesha records kwa kidbway,.pia kuna YAKI na roho 7,ngoma zao zili hit wakiwa iringa kwa amber
Ni kweli kabisa belle 9 alirekodi rocker tz records, Jina lilinitoka kidogo,.

Hapo kwa Yaki nakumbuka aliachia kazi flani ilisumbua sana nimeisahau jina ila mashairi yake ni >>> story za machiz wakikaa, kwamba sikuhizi nakosa furaha, am sorry kama nilijikwaa, hata tentz anajua we mshumaa maa, blinblin unaniacha kwenye giza, kama chizi kila kona nakatiza, honey please hata Amba ungemueleza, cheki ulivyonichjzisha, nashindwa kusoma shuleni unanifelisha, we ndo wangu wa maisha nacheki pembeni vicheche vikikatisha, natuma mesej majibu sipewi, napiga simu haipokelewi, napata wazimu hata salamu siletewi

Shida kwa Yaki alivoachia hii hakupata hit nyingine
 
Ni kweli kabida belle 9 alirekodi rocker tz records, Jina lilinitoka kidogo,.

Hapo kwa Yaki nakumbuka aliachia kazi flani ilisumbua sana nimeisahau jina ila mashairi yake ni >>> story za machiz wakikaa, kwamba sikuhizi nakosa furaha, am sorry kama nilijikwaa, hata tentz anajua we mshumaa maa, blinnblin unaniacha kwenye giza, kama chizi kila kona nakatiza, honey please hata Amba ungemueleza, cheki ulivyonichjzisha, nashindwa kusoma shuleni unanifelisha, natuma mesej majibu sipewi, napiga simu haipokelewi, napata wqzimu hata salamu siletewi

Shida kwa Yaki alivoachia hii hakupata hit nyingine
ngoma inaitwa TONIGHT
 
Goma lilihit ila baada ya hapo ni kama alipotea kwenye game, nilimfatilia alienda kusoma China
Alitoa ngoma nyingine kama vile 'jamaa yangu' chini ya produsa Amba na baadae aliacha kuimba serious akawa anajihusisha na utengenezaji wa video za muziki na pia matangazo.

Alikuwa anafanya kazi na Director Nick Dizzo (E. Media), YAKI alikuwa mtu wa lights kama sikosei. Huyu Nick Dizzo ndiye mtu (produsa) aliyefanya ngoma ambayo nafikiri mpaka sasa ni best diss song hapa Tanzania, USIULIZE - Kiraka RADO
 
Kuna wasanii kama

PNC - Mama (Tetemesha Records(Mwanza) - Produsa Kid Bway)

Izzo Business - Pisha Nipite (Mbeya Records (Mbeya) - Produsa Kameta) hii ngoma ilishika namba 1 kwenye sindano kali za moto za kipindi cha Marehemu Fred Fidelis aka Fred Waa cha Vodacom (RFA)

View: https://youtu.be/z3JlO1tFToA?si=hBJsf1LH2CcUFJ8J

Dan Msimamo - Mic (Motika records (Tanga) - Produsa Mr. Ebbo) - Huyu mnyama alianzia Tanga na baadae akafika Dar na kutoa ngoma kali kibao kama siku nzuri inavyokwenda (Produsa Marehemu Complex)

Reek K Farida - honey (Tetemesha) ingawa huyu aliwahi rekodi album pale MJ (2002) ikiwa na nyimbo kama PESA na upendo wa mama, ila huu honey ndio ulimtoa sana maana aliufanya akiwa mtu mzima, na akaenda kusoma chuo kikuu cha Tumaini Iringa akakutana na Amba na Roho Saba, akafanya chorus za ngoma za Yaki (wangu), Roho saba (crazy) na nyingine nyingi. Na baadae wakaona na Roho 7 ambaye kwa sasa ni afisa mkubwa wa Jeshi huku Ree K Farida akiwa ni wakili wa kujitegemea na mjasiliamali.
 
Wewe ndio umemjua Joh Makini akiwa Dar, huyo mwamba ameanza kuhit mbaya akiwa daraja mbili Arusha.

Ni vile watu wengi wa Dar huwa hawajui vitu vingine vinavyoendelea nje ya Dar.
Sasa mkuu mbona wewe ndio unaenda nje ya mada? Mada imesema kujulikana Tz ukiwa bado mkoani, Joh alikuwa anajulikana daraja mbili na Arusha, Tz nzima kaja kujulikana baada ya kukutana Ludigo, yeye humuita Faza kabisa.

Katoa Hao baada ya kuja Dar, na ndio hit song yake kubwa zaidi Tz nzima kwa mara ya kwanza.
 
Mkuu, kwa jinsi unavyojibu basi suala linakua sio wasanii wa mkoani, bali unaongelea wasanii waliorekodi studio za nje ya Dar es Salaam ila ndani ya Tanzania.

Maana hiyo orodha iliyotajwa hapo karibu wote walikuwa wanakwenda Dar kwa ajili ya kurekodi tu ila makazi yao ni mikoani.
Unaposema katobolea mkoani means kila kitu kimefanyika huko mkoan hadi video zen hio kaz ikaja kuhit nchi nzima haya taja
 
Wewe ndio umemjua Joh Makini akiwa Dar, huyo mwamba ameanza kuhit mbaya akiwa daraja mbili Arusha.

Ni vile watu wengi wa Dar huwa hawajui vitu vingine vinavyoendelea nje ya Dar.
Soma vizuri swali Mkuu. Nyie ndio huwa mnafeli mitihani kwa kutosoma maelekezo.
 
Unaposema katobolea mkoani means kila kitu kimefanyika huko mkoan hadi video zen hio kaz ikaja kuhit nchi nzima haya taja
Zamani wasanii hawakua na video na walitoboa umaarufu kwa kiwango cha kutisha. Hatukua na video za Jay Moe bishoo, ama video za prof jay chemsha bongi, bongo DSM nk

Sasa wewe ukiweka sharti la video kama sehemu ya kumfanya mtu ajulikane basi tunatofautiana music era.

Ila kwa kuwa umetaka jina, ROHO 7 - Nakupenda HipHop

View: https://youtu.be/chdP7c91Qs4?si=BsHEE4ZcyKB9OViM
 
Back
Top Bottom