Weka hapa Tiba asilia ulizowahi kutumia na zikakusaidia, mimi zangu hizi hapa

kama haina madhara we nitajie tu mkuu
Hii dawa haina madhara kwenye mwili ila itaweza kukuletea msongo wa mawazo.

Anyway ukinywa hii dawa utafanya kitendo ambacho hutaamini wewe ndiyo ulifanya.

Madhalani, kuna mama mmoja ndugu alitamani kuona Mume wake anaacha pombe, aliinunua na kumpa mume wake, kilichotokea mumewe alitembea uchi wa mnyama toka bar mpaka nyumbani huku akisindikzwa na watoto wa mtaani.

Baada ya hapo kilichotokea ni historia, mzee alicha pombe na sasa anasali swala tano.
 
Mkuu huyo MTU ndio yule anaefanya biashara yamazao sokoni?!
 
Sasa huko ni kurogana haifai hiyo
 
basi mkuu sitaki tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…