Weka hapa Tiba asilia ulizowahi kutumia na zikakusaidia, mimi zangu hizi hapa

Jaribu kuangalia group lako la damu na uangalie diet unazopaswa kula kutokana na group la damu kuna aina ya chakula unakitumia mara kwa mara ndio inakupa huo mzio wa mafua

Aache tu vitu vya baridi
 
shukrani sana boss
 

Kuna mdudu huwa anasababisha kidole kuuma na kuvimba pia,,,,huyo mdudu ni nani? Au tetenasi?kuna jamaa zangu wawili walifariki kisa kuwa na huyo mdudu vidoleni,,
 
Mkojo wa asubuhi kwa matatizo ya meno.

Nilikuwa napata matatizo ya meno mara nyingi, nikashauriwa kusukutua na mkojo wa asubuhi,

Baada ya hapo nikapona hadi leo
 
Kuna mdudu huwa anasababisha kidole kuuma na kuvimba pia,,,,huyo mdudu ni nani? Au tetenasi?kuna jamaa zangu wawili walifariki kisa kuwa na huyo mdudu vidoleni,,
Huyo dawa yake ni ndulele unakamlia hapo kwa kidole huska mambo yanakuwa bambam
 
Kuna yale majani ya mastaferi, ila sio hii mistaferi ya mjini, unatafuta ule mti wa asili, wa porini, majani yake ni dawa ya tezi dume.

Unachemsha kisha unakunywa kama chai
 
Mkojo wa asubuhi kwa matatizo ya meno.

Nilikuwa napata matatizo ya meno mara nyingi, nikashauriwa kusukutua na mkojo wa asubuhi,

Baada ya hapo nikapona hadi leo
Matatizo gani ya meno ?? Meno kuwana rangi mbaya ? Wala meno kuuma
 
Kama ana mke anayenyonyesha pasipo yeye kujua " Kamua maziwa na umuwekee kwenye pombe". Hutajuta japo utajuta atakapokuwa anatapika. Hatarudia tena.
 
Jamani anayefahamu dawa ya tumbo la wanawake linalouma upande wa kushoto chini ya kitovu au daktari wake. Msaada tafadhali.
 
Kuna mti. Mmoja utomvu wake niliuweka kwenye fresh woond siku 2 tu
 
Mimi naombeni nisaidieni mtu anayejua dawa ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke sijui ndo kuongeza nguvu za kike

tumia Ndizi[emoji529]+ Maziwa fresh[emoji1636]+ Karanga + Vijiko 4 Vya Asali

Hakikisha unavisaga kwenye blender ili uweze kupata mchanganyiko mzuri, hapo itakuwa Tayari Sasa Kwa matumizi, tumia ndani ya week 2 kutwa mara tatu utakuja kunishukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…