Weka mbali na wanawake. Ni mfano tu

Weka mbali na wanawake. Ni mfano tu

wapi pameandikwa mwanamke anaweza kuolewa na mume zaidi ya mmoja
Kwa dini yangu hakuna sehemu inayoruhusu mwanaume kua na mke zaid ya mmoja.
Na hata kama maandko yenu yanaruhusu mwanaume kua na wanawake zaid ya mmoja afu mwanamke anazuiwa kama binadam mwny akili lazima ujue hapa hamna usawa...kwanza as long as am concern nan kaandika hayo maanadiko kama sio binadam kama ww
 
kwa mfano mkeo anumwa na amefanyiwa operesheni,na hatakiwi kuguswa kwa zaidi ya mwaka,je inawezekana kuvumilia?swali hili ni maalum kwa wanaume tu
YEYE NTAMVUMILIA, ILA KWA USALAMA WA AKILI YANGU NTATAFUTA WENGINE WA KUMSAIDIA KWA MUDA.
kWANI YEYE MIMI NIKIWA SIPO AU NAUMWA HUWA ANANIOMBA NIMVUMILIE
 
Kwa dini yangu hakuna sehemu inayoruhusu mwanaume kua na mke zaid ya mmoja.
Na hata kama maandko yenu yanaruhusu mwanaume kua na wanawake zaid ya mmoja afu mwanamke anazuiwa kama binadam mwny akili lazima ujue hapa hamna usawa...kwanza as long as am concern nan kaandika hayo maanadiko kama sio binadam kama ww
nani alikuambia kuna usawa kati ya mwanaume na mwanamke
 
Ntaangalia kama yuko fiti fiti napiga juu juu tu kuvumilia mwaka ngumu wallahi unaweza ukapata uchizi
 
kwa mfano mkeo anaumwa na amefanyiwa operesheni,na hatakiwi kuguswa kwa zaidi ya mwaka,je inawezekana kuvumilia?swali hili ni maalum kwa wanaume tu

Hii haina mjadala mkuu, unakamua house girl au mke wa jirani.
 
Kwa nadharia inawezekana lakini kihalisia ni ngumu kuvumilia nila kutupia mwaka mzima
 
Back
Top Bottom