Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na uzuri wote wameshafuzu. Hivyo huo mchezo utakuwa ni wa kutafuta tu heshima. Sasa nitashangaa kama Simba wataendelez unyonge.Kwanza hii mechi Ina GG
Halafu hii mechi mnyama Anaenda weka heshima,natamani kuona mwarabu analambishwa mchangq
Makolo najua hawatoniangusha
Hiyo game nitakua wa kwanza kwenye TV na popcorn zangu ndoo nzimaHata ingetokea wakapelekwa Simba Queens kucheza na hao Raja Casablanca, bado matokeo yasingekuwa hivi.
Nataka Simba na Yanga zote ziwagongeshe waarabu,Ili siku nyingine wakija bongo wawe na heshimaMnyama ni mwepesi, kacheza na Urojo kelele nyingi
Mnyama afanye kweli Ili aendelee kujenga brand yake,ya Ligi yetu na nchi yetuNa uzuri wote wameshafuzu. Hivyo huo mchezo utakuwa ni wa kutafuta tu heshima. Sasa nitashangaa kama Simba wataendelez unyonge.
Nadhani katika hili, wawaige kaka zao wa yanga! Baada ya kupigwa 2-0, ugenini, na wenyewe wamelipa nyumbani kwa goli zilezile.
Kwani netball?Raja 27 Makolo 0
Ni chache sana Mkuu, ngoja niongeze Raja 33 Simba 0Kwani netball?
Ok sawaNi chache sana Mkuu, ngoja niongeze Raja 33 Simba 0
Mkurugenzi, jikite kwenye utabiri. Usitoke nje ya mada. Mechi ya Raja Casablanca vs Simba ina msisimko sawa tu na ile ya Al Ahly vs Al Hilal!Utopolo umesahau mtakuwa Congo mnakutana na wale Mazembe wamewapakia mkongo, unahangaika na Simba vs Mwarabu, hizi dharau mnajitafutia wenyewe!.
Utopolo ndio maana hili kombe kubwa la wanaume hamuwezi kushiriki, sababu mnajijua mlivyo legea.Kama Raja hajashida 8-0 niulizwe mimi