Weka utabiri wako hapa wa mechi ya marudiano wiki chache zijazo kati Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania

Weka utabiri wako hapa wa mechi ya marudiano wiki chache zijazo kati Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania

Mtani, nikutake radhi tena! Hii mada nimeileta kama mdau wa michezo! Na siyo kama shabiki wa timu fulani. Hivyo kila anayetoa utabiri wake, anatakiwa atoe na facts!
Kwanini usingezungumzia game yenu na Mazembe pale Lubumbashi?

Ngoja nikuweke kiporo kwanza, tutakutana hiyo siku ...
 
Mi nishabiki wa Simba kindaki ndaki Ila sioni Simba kuchomoka kule Morocco. Tutapigwa mbili tu nasi tukijitahidi sana tutaambulia moja. Kwanini nasema hivyo? Simba tutaenda kule na mindset ya kulipiza kisasi, katika mashambulizi tutakayofanya tutaacha loopholes nyingi ambazo Raja hawatazifanyia makosa tena kwa Kasi yao watatuadhibu tu.
 
Wangaaaaaa
Huu uzi una lengo la kubashiri tu matokeo. Na hitimisho lake ni hiyo siku ya mechi husika. Hivyo unakaribishwa kutoa maoni yako.

Mfano ukichukulia trend ya Simba kwa sasa! Itashindwa kweli kumuangamiza Mwarabu kwenye ardhi yake? Kama Vipers mliowafunga in and out, wametoa nao sare! Simba ndiyo ya kushindwa kuwafunga kweli!!
 
Back
Top Bottom