Weka utabiri wako hapa wa mechi ya marudiano wiki chache zijazo kati Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania

Weka utabiri wako hapa wa mechi ya marudiano wiki chache zijazo kati Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania

Kwanza hii mechi Ina GG
Halafu hii mechi mnyama Anaenda weka heshima,natamani kuona mwarabu analambishwa mchangq

Makolo najua hawatoniangusha
Na uzuri wote wameshafuzu. Hivyo huo mchezo utakuwa ni wa kutafuta tu heshima. Sasa nitashangaa kama Simba wataendelez unyonge.

Nadhani katika hili, wawaige kaka zao wa yanga! Baada ya kupigwa 2-0, ugenini, na wenyewe wamelipa nyumbani kwa goli zilezile.
 
Mnyama afanye kweli Ili aendelee kujenga brand yake,ya Ligi yetu na nchi yetu
 
Mbali na suala la utabiri mechi kati ya Raja na Simba, Mechi hiyo Simba inatakiwa wacheze kama wanacheza robo fainali hii itawaandaa vzur wacheza kwaajili ya mechi zenyewe za robo fainali
 
NGUMU KUTIA TABIRI HAPO.

mana Raja wanahasira ya kukaziwa na VIPERS huko Uganda,.

ambaye anaburuza mkia hii imewaumiza sana mana walilenga kuweka historia ya kuzifunga club zote Njendni!!! hatua hii ya makundi.

SIMBA nao haitaki aibu ya kufungwa tena kijinga kama alivofungwa mchezo wa awali,
Pili Simba imekua ikiongeza juhudi kila mchezo hvo kama nawaona Simba wakienda kumchallenge Raja.

Nahitimisha Kwa Kusema huu mchezo utamalizika Kwa GG nzito ya ushindi kutoka Raja.

Nadhani tumeelewana .
 
Utopolo umesahau mtakuwa Congo mnakutana na wale Mazembe wamewapakia mkongo, unahangaika na Simba vs Mwarabu, hizi dharau mnajitafutia wenyewe!.
Mkurugenzi, jikite kwenye utabiri. Usitoke nje ya mada. Mechi ya Raja Casablanca vs Simba ina msisimko sawa tu na ile ya Al Ahly vs Al Hilal!
 
Back
Top Bottom