Wekeza Milioni 7 upate Milioni 20 ndani ya miezi 6

Ukiona hivyo kuna harufu ya utapeli anataka watu wamfuaye pm afu awapign

MPunga ushalowa mkakoboa usikuusiku half unataka upate faida na umesema mmeuza kwa hasara na ghala kuezuka io ishu yenu haihusiani na faida ya 20mil hahahah
 
MPunga ushalowa mkakoboa usikuusiku half unataka upate faida na umesema mmeuza kwa hasara na ghala kuezuka io ishu yenu haihusiani na faida ya 20mil hahahah
Umetoa hoja acha ijadiliwe Mkuu. Ulichopost hakina uhalisia acha kubishia ukweli.
Unapafahamu Majimoto Mlele huko Katavi? Pale mwaka 2020 ulikuja upepo ukalaza maghala yote zaidi ya 30 chini mpunga wote ukaloa.
Hasara zipo lazima uwe risk taker, kuuziwa mpunga mbegu mbaya kupo, kuuziwa pumba badala ya mpunga kupo, kuweka mzigo stooo ukakuta mwenye stoo kauza mzigo katoroka kupo, kuweka mzigo suppa stoo ukabadirishiwa ukawekewa kanyaboya kupo, kuuziwa mpunga wa wizi hatimaye ukakamatwa nao na muuzaji keshasepa kupo, kununua mzigo na mwenye gari akatoweka nao mazingira ya kutatanisha kupo nk nk.

Acha wadau wachangie kkadri ya uzoefu wao acha kubeza na kuleta ujuaji.
 
Mkuu umetisha!
 
Mkuu umetisha!
Hapo nimefupisha mkeka, kuna wakati kutoa Mzigo porini/Majarubani kuuleta barabara ilipo inakutoka 10,000 hapo tena ulipe elfu 10 nyingine toka barabarani hadi stooo hapo jumla usafiri ushakata 20,000/=
Kijijni una stoo/Mahema/Maturubai.
Kijijini unakodi bodaboda ya kukuzungusha pointi moja hadi nyingine.
Kijijini huko umepanga nyumba, unakula, ununue malazi nk halafu mtu ameenda kununua mzigo msimu mmoja anakuletea ngonjera za faida 20M.

Anyway mkuu Karibu Kitambaa Cheupe ya Tabata kwanza tupate kitu baridi kusubiri foleni zipungue.
 
MPunga ushalowa mkakoboa usikuusiku half unataka upate faida na umesema mmeuza kwa hasara na ghala kuezuka io ishu yenu haihusiani na faida ya 20mil hahahah

Sawa kafanye na ww upate million 20 faida. Mnaambiwa kitu hamtaki kusikia. Nenda kafanye mjomba
 

Hawaelewi hawa. Acha waende na wao wakachote faida ya Milioni 20[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 

Huyu hafanyi hii biashara achana nae. Sie tunaofanya tunaelewa vzr tu sasa mwache na ujuaji wake. Kuna kitu mwaka huu tumekutana nacho kinaitwa BIRIAINI. mchele umebadilika rangi na kua km wa njano. Mnunuzi akiona tu punje ya biriani anapita km hakujui vile. Hiyu hajui hii biashara ndo maana anasema unanunua mpunga elfu 30 unakuja kuuza laki moja. Sijawahi kupata hii faida kamwe. At least mwaka juzi kulikua na faida lkn haikufika hiyo. Huwezi kununua mpunga elfu 30 ukauza laki moja.
 

Mwaka jana kuna mkuu wa kituo cha polisi pale bush alidhulumiwa gunia zaidi ya 200 na mkusanyaji tu. Imagine mtu anamdhulumu mkuu wa kituo cha polisi. Hlf anatokea mtu anakwambia faida utapata Milioni 20. Nyie
 
Kuna makala moja aliandika Mh Kingwangala kuhusu biashara ya mpunga. Mh aliingizwa cha kike na mtu anaemuamini sana. Itafuteni mtakuja kunielewa

Kwa kifupi hii biashara sio rahisi km mtoa mada alivyosema
 
2022 nilinunua mahindi gunia chache Kwa shs 70,000 nikaja kuuza 130,000 nikajilaumu Kwa Nini sikununua mengi?.

2023 July nikaongeza kiwango, nikanunua Kwa shs 90,000 nikitegemea kati ya Jan- April 2024 bei itapanda!! Mtumee ....acha kabisa bei ni kati ya shs 35,000-45,000 nimeshindwa kuuza. Ikifika mwezi wa saba mavuno mapya yanaingia sokoni.
 

Yea ni kawaida sana katikati hii biashara kupata lose. Nashangaa tu watu wanaokuja kutoa faida tu bila changamoto na hasara ya hii biashara
 
Unajisikia unachozungumza ivj huamini kam kwa sasa sokoni gunia ni 30k au huamini kama gunia la mpunga linaweza kufika 100k au unaona faida ya mil 20 kubwa sana kwako?
 
Sasa mbn simple math tu io ungenunua gunia 200 manake ungekuwa na faida ya mil 12 haya bs toa io 2m kama gharama nyinginezo ungebaki na 10mil mbn simple math sasa kweny mpunga kinashindikana nn sasa
 
Mr negativity endelea kukatisha watu tamaa
 
Kuna makala moja aliandika Mh Kingwangala kuhusu biashara ya mpunga. Mh aliingizwa cha kike na mtu anaemuamini sana. Itafuteni mtakuja kunielewa

Kwa kifupi hii biashara sio rahisi km mtoa mada alivyosema
Huyo ni mjinga, mtu umepiga bilioni mbili halafu unafanya biashara ya mazao. Akili za kisukuma bwana . Ni sawa una milioni 200 halafu unafungua genge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…