Thabit Karim
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 393
- 735
Unajisikia unachozungumza ivj huamini kam kwa sasa sokoni gunia ni 30k au huamini kama gunia la mpunga linaweza kufika 100k au unaona faida ya mil 20 kubwa sana kwako?
Bongo hautakiwi kuwa mchoyo lazima uhonge . Hela itakayo honga iweke katika bei utayouzia kenya. Ndio biashara zinavyofanyika.
Umemaliza mkuu 3k to 5k maana ake ata 18k gunia unapataWanaouliza ni wapi gunia 30,000 nawasaidia tu Tabora yote, Shinyanga yote, Mwanza maeneo baadhi kwa vijijini bei ni hiyo kwa msimu huu wa mavuno, debe ni 3000-5000 huko vijijini, sio mpunga tu hata karanga na mahindi bei ni hiyo
Ni pilipili gani hasa mkuu?Mazao ya kusafirisha yapo mengi, usikomae na mazao ya chakula ambayo bei zake hazikai juu muda mwingi.
Iliki,karafuu,mdalasini,pilipili zilizokaushwa unaweza ukasafirisha nje ya nchi na ukapata pesa kubwa zaidi
😂😂😂hawa watoto wa 2000 yaan wanachukulia maisha ni note book kuna umuhimu sasa wa kua na filter maada za msingi , uhalisia na Makadirio kuwekwa wazi
uko mbali ungekua karibu ningekuchalaza bakora 6M = 20M kwa miezi 6M
Huu ni uogo kaka makini unaibiwa.Wanaouliza ni wapi gunia 30,000 nawasaidia tu Tabora yote, Shinyanga yote, Mwanza maeneo baadhi kwa vijijini bei ni hiyo kwa msimu huu wa mavuno, debe ni 3000-5000 huko vijijini, sio mpunga tu hata karanga na mahindi bei ni hiyo
Hizo uwe na mtaji kiasi gani unachukulia wapiMazao ya kusafirisha yapo mengi, usikomae na mazao ya chakula ambayo bei zake hazikai juu muda mwingi.
Iliki,karafuu,mdalasini,pilipili zilizokaushwa unaweza ukasafirisha nje ya nchi na ukapata pesa kubwa zaidi
Mkuu Mpunga na vitunguu ni mazao ambayo timing ya kuuza ni ya msimu yaani seasonal. Mfano kuanzia mwezi wa 10 hadi mwezi wa 5 wa mwaka unaofuata mpunga na vitunguu huadimika sana. Hivyo, ukitunza mazao hayo na kuuza katika msimu ambao ni adimu unapiga fedha ndefu. Mathalan mwaka juzi mchele uliuzwa hadi sh 5,000 kwa kilo moja kwa kipindi hicho na mwaka huu gunia la vitunguu maji limeuzwa zaidi ya sh 400,000 kwa kipindi cha kuanzia mwezi wa 10 hadi mwezi wa 4.Watz kwa kupenda kutoa ushauri ambao wao hawauishi? Kama ni kweli uza/weka dhamana kibanda chako upate mtaji si utapata hela kubwa ya faida ununue au ujenge kubwa zaidi? Za kuambiwa changanya na za kwako!
SawaHuu ni uogo kaka makini unaibiwa.
Ila ndo huko Bush kweli gharama ya kulitoa huko ukafike town unakuta debe lishafika 6000-7000,Umemaliza mkuu 3k to 5k maana ake ata 18k gunia unapata
Changamoto watu wengi hatujui namna ya kusafirisha plus gharama zake pia... Iliki ,karafuu bei ya chini hupatikana wapi kwa hapa tz kwetu na nchi gan hununua mazao haya kwa wingi ?Mazao ya kusafirisha yapo mengi, usikomae na mazao ya chakula ambayo bei zake hazikai juu muda mwingi.
Iliki,karafuu,mdalasini,pilipili zilizokaushwa unaweza ukasafirisha nje ya nchi na ukapata pesa kubwa zaidi
Changamoto watu wengi hatujui namna ya kusafirisha plus gharama zake pia... Iliki ,karafuu bei ya chini hupatikana wapi kwa hapa tz kwetu na nchi gan hununua mazao haya kwa wingi ?
Utapeli huanza poooole poleSalamaleko,
Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake gunia la debe sita la mpunga ni 30000. Na gunia la mahindi la debe sita linasoma 42,000.
Kama una mtaji wa kununua mpunga kwa kipindi cha mavuno basi una uhakika wa kuingiza mil 20 kwa mtaji wa mil 6 kwa muda wa miezi 5 (UHAKIKA)
MCHANGANUO
Gunia la mpunga 30,000 unanunua gunia 200 jumla inakuja 6,000,000 kwenye million 7 inakua imebaki million 1 kwa ajili ya kukava gharama za ukusanyaji na mambo mengine madogo madogo.
Huu tupo mwezi wa 5 ikifika mwezi wa 10/11/12 gunia la mpunga linafika 100,000l= kutoka 30k ya sasa.
Sasa una gunia 200 stoo zidisha 100,000 kwa kila gunia mzigo utasoma 20,000,000/= ukitoa mil 7 uliyowekeza UNABAKI NA 13,000,000/=KAMA FAIDA KWA MIEZI SITA (6) WOOW
NB: Ni bora kununua mpunga kuliko mahindi sababu mpunga hauna gharama sana kwenye kutunza kama mahindi
UKITAKA MALI UTAIPATA SHAMBANI UKU NILIKO KUNA FURSA NJOO TUWEKEZE
Ushauri maoni kurekebishana ruksa, nawakaribisha.
Oooky amani napapata vzur ngoja nkafanye utafit wa bei ya huko na bei ya soko . ThanksIliki inapatikana turian/matombo/amani tanga
Karafuu inapatikana amani/matombo/zanzibar
Masoko ni wahindi, waarabu na wachina
Usafirishaji ni the same na mazao mengine
Umetapeliwa nnUtapeli huanza poooole pole