NinachomshangaaWema ni kitu kimoja tu, umri wa yeye kuolewa ndio huu hajitambuwi anasubiri ageuke kwasukwasu ndio aje MMU na thread za kipumbavu kulaumu wanaume yeye anadhani mwanaume gani asiyetaka kufaidi utamu wa mke wake wakati bado yuko hot?
Hhhhhhhhhhaaaaq hapanaa mi na yangu ya peke yangu nilikua na kilo 87 nimepima sasa nna kilo 84 nataka zifike 76 hhhhhhaaa
hakuna hata haja ya kurudi china.
Angefanya diet tu na mazoezi.
Kuounguza pombe na manyama choma, mbona mwili unakaa poa sana.
Kuliko hata hayo ma-operation yao wanayofanyiwa.
Hhhhhhaaaa binam hujanywa chai nini heeeeeeeeeee, ,akawaulize mods wana kumbukumbu nzuri jibu zuriii
Loh!! Dinazarde kumbe muongo si uliniambia wewe msukuma wako ni pedeshee kama CK anafanyia wizara nyeti, nyie binamu huyu muone kwanza.
we mke wa mvuvi weeee
ushauza samaki umennua bando unapiga umbea eeeh
heee mmewe muuza uduvi aisdanganye kutwa umbea jf ukiona kannua bando bas kapata hela ya samaki
Uwiiiiii shoga kumbe wewe ni kibonge hivyo???Mimi sijawahi kuzidi 55 hata nile kama nguruwe...hizo diet nazisikia tu
Looh!! Mi mwenzio nina kilo 65 tu ila napakia kama nini
Shogaa samaki zimenidodea hapa njoo uniunge basiiii eeeee nipate hela ya bando
Nawe mwal uache umbea upo darasan unapiga umbea tu mfyuuuuu ndio kutufelishia wanetu
akuunge nani weka pilipili kichaa upate wateja huko we unauza samaki bila kuweka pilipili utajijua na leo imekula kwako
bwana weeee mshahara wenyewe laki tatu niache kupiga umbea kisa watajua wenyewe wafeli wasifeli na wazazi wao km vp wawapeleke st.francis