Wema na huruma iliyofanywa na mkuu wa shule nilosoma

Wema na huruma iliyofanywa na mkuu wa shule nilosoma

Nipo siti ya mbele
niwekee siti na mimi

KAZI KWELI KWELI
IMG_7933.jpg
 
Siku ya pili Ilikuwa ni jumamos hatukuonana na hadija Wala jumapili sikuonana nae ila nikaonana na yule rafikiyangu kipenzi akawa ananiuliza mbna wiki hii nimekuwa busy sana kwanza nilienda wapi ijumaa na hadija tumechelewesha mwenye baiskeli yake

rafikiyangu alikuwa mmbea sana yaani balaa anapenda ubuyu alafu ana marafiki wengine wengi tu nikasema huyu akijua tumeisha kwanza ataanza kumwambia hadija kuwa anajua maana nae tulikuwa nae group moja la discussion nikakausha tu

Jumatatu ikafika ikawa moto na maandaliz ya mahafali kama unavojua ni mazoez Kwa sana kuandaa mavazi na sherehe yenyew
Hadija alikuwa amani Hana Mimi pia furaha imetoweka nilikuwa namuonea huruma sana

Dukuduku limenikaa rohoni natamani nitue mzigo ule kwa mtu lakini siwez nitamharibia Binti wa watu
Rafikiyangu kanikalia kooni kwanini mkuu annaiita Kuna Nini kinaendelea napangua tu huruma ilinijaa mno Siri Ile nzito japo Ilikuwa ya watu wengi ila ni kama zigo la mawe🤣🤣
Tukafanikiwa kumaliza maandaliz salama graduation ilipngwa alhamis
Jumanne kabla sijaamka
Nikasikia mlango unagongwa nikaamka nikafungua nikamkuta daddake hadija nje
Nikamsalimia akanambia nisogee pembeni tuongee hakukuwa na alieamka muda huo mm Huwa nnamka mapema kuwahi shule

Mamasule;mdogowangu mzima
Mimi;sijambo shikamoo(akaitikia)
Mamasule;Jana usiku sijalala vizuri nilikuwa na mawazo sana nikaona Nije mapema tuongee kwanza nakushukuru sana mama nae nashukuru sana kwa Kiasi kikubwa umemsaidia sana mwenzie sijui inhekuwaje japo tunaishi Kwa hofu lakini umejitahid kuwa na ujasiri wa kutuambia
Mimi;hakuna shida msijali
Mamasule;sasa mdogowangu nimekuja kukuomba nipo chini ya miguu Yako usije ukamwambia mtu hili suala alhamis kitakuwa na watu wengi kwenye mahafaliyenu mengi yatasemwa kwasababu ni tetesi zipo mtaani usije ukamwambia mtu au kuzungumzia hili watu tutadhalilika siis hadija shule itaishia hapo, Bado wiki 2 mfanye mitihani tuvumilie tu yaishe huku machozi yanamlenga
Roho iliniuma nikamwambia hakuna shida asijali sitamwambia mtu yoyote
Akaaga akaondoka

Jumatano asubhi tukafika shule tulikuwa tunaingia darasani asubuhi baada ya break tunaanza maandaliz hadija akanifuata akanambia hatokuja kwenye mahafali ana hofu watu wanaweza wakaanza kumyooshea vidole na kitumbo Kwa mbali kilianza na kama unavojua tuna ule mtindo wa kubana mashat ya shule 😂😂tunoenake hatuvai mambwanga

Nikamwambia usipokuja ndio utaharibu watu ndo watajiuliza umefanya mazoez Hadi dakika ya mwisho,umelipa mchango,umeshona sare alafu usije balaa lake sio dogo wewe njoo mengine tutajua hapahapa tukakubaliana
Alahamis asubhi siku ikafika wa kwanza kuonana ni dadayake akasema tuende akatupake super black nikajua ni hofu tu 😀😀😀nikakataa nikaweka nywele wave tu tulikuwa hatusiki ila akasisitiza tujifanye hatujui kinachoendea habari zinazid kusambaa watu wamegundua kijan kkimbia mimba na kma unavojua Kijiji kidogo wambea 200😀
 
Back
Top Bottom