Wema: Nilitaka mil 75 kuwa Salome, WCB wakanipa mil 50 nikakataa

Wema: Nilitaka mil 75 kuwa Salome, WCB wakanipa mil 50 nikakataa

Yeap biashara siku zote ni maelewano,Unaangalia gharama na faida,ukiona inalipa unapiga kazi kama hailipi unapiga chini.
 
Tuli

Tuliambiwa kuwa video ya NUMBER ONE iliyofanyika South Africa walitumia dollars za America kiasi cha kama 30,000 name ndiyo video ilikuwa bora kwa viwango vya kimataifa. Hii ni gharama zote.
Sasa iweje leo Wema adai Million 75 pekee yake?!!! Mbona hata ile million kumi aliyotaka kwa Rayvanny Kyle kushoot video 'Natafuta kiki'pia hakupewa hata Mia?!!
Na bado anataka kwenda mahakamani?!!!
Huyu binti asijipandishe hivyo. Si daraja lake
hii habari ya uwongo
 
hahahaah aisee mi hoi milion 50 ameikataa kisa kuuza sura haya
 
Aende akakuze tu makalio huko, kiki gani za kishamba hivi, alishindwa kulipia umeme Elfu 20 kwa mwezi mpaka akaiibia TANESCO leo hii awe wa kukataa 50M???!
Usiseme mkuu, kuna mishe (zao) dau alilokubali na alichopewa ni soo hata kuisema humu ni balaa, leo akatae 50m!!???,hata mzee wake(R. I. P) anasikitika huko alipo naamini
 
hamisa mobeto kwa jinsi alivyofurahi mule kwenye video... nahisi amefanya bureeee kwa kujitolea kabisa...

amefurahi sana anacheza kwa raha tele...

kama amelipwa amepata ndege wawili.. hela ya video na bado furaha yake ya moyoni
ana furaha ya kufanya video na babaa mupenzii!!!

kiroho safiii!
 
Sidhani kama angeitendea haki kama Hamisa Mabeto. Bora hajawa yeye.
 
Mbwembwe hizo zoote still Amepanga nyumba
Unaanzaje kukataa 50M
 
hana uwezo wa kukataa ml50 kwa kibano hiki cha awam ya five.ingekuwa awam ya nne kweli alikuwa na ubavu wa kukataa ml50.
 
Back
Top Bottom