Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 958
- 831
In reality hapa Bongo hakuna Video Queen atakaye weza Demand on that price. WEMA anadanganya UMA live. Kwa Usawa huu 50M ukatae????? kama Ni kweli amuombe Mnyazi Mungu msamaha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata angefanya bure bado soko lake limekua na hadhi yake imekua, inshort amepata faida nyingi sana kutokea kwenye wimbo wa salome, Lulu sijui kashapost video insta na zari, nangoja kwa hamuhamisa mobeto kwa jinsi alivyofurahi mule kwenye video... nahisi amefanya bureeee kwa kujitolea kabisa...
amefurahi sana anacheza kwa raha tele...
kama amelipwa amepata ndege wawili.. hela ya video na bado furaha yake ya moyoni
Haha me mwenyewe baada ya kujua nani kaleta thread, nimebaki kucheka tu. Huyu mtu jamani mweemsaga sumu wasiokujua uanawaokota kishenzi,hahahahahaha
Nani wa kumlipa dola? Huyu mdada muongo, hana hadhi ya hiyo pesa anayoitamka.sasa anapoendaga kwenye vijibirthday uchwara na vitamasha huwa analipwa dola ngapi?
Kweli hii story loh milion 50 kwa usawa huuJamani MSAGA SUMU ni muuza kahawa, msichukulie story zake serious, anatakaga tucheke!