Wema Sepetu adai Makonda ni malaika wa Mungu aliyetumwa duniani

Kwa kuwa hatujui ni Mungu gani wanayemwabudu, basi tuseme ni kweli ametumwa
 

Nina wasiwasi kuwa Bashite kashambashite Wema Sepetu.
 
Wema yuko sahihi. Hata mimi naliona hilo.
Malaika wa Mungu hawapendwi. Lakini matendo yao yanaonekana.

Makonda alitakiwa awe waziri mkuu. Angewaendesha sana mawaziri wengine watekeleze wajibu wao. Nchi ingebadilika haraka sana kama waziri mkuu angemsaidia Rais kuwa himiza mawaziri kutekeleza malengo ya Rais.

Waziri wetu mkuu wa sasa sielewi anafanya nini?
 
Hawa hawaelewi kabisa kwamba Watanzania wana akili sio wasubiri Wema anasema nini!
 
Hivi watu wana njaa mpaka wanakuwa matahila
 
B izqR----[emoji6]' [emoji18] [emoji39] [emoji39] [emoji26] .yssj
 

Nina wasiwasi kuwa Bashite kashambashite Wema Sepetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…