mndemeimran
Senior Member
- May 7, 2017
- 112
- 74
Mambo ni moto bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tehe tehe tehe [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Twende jukwaa la wakubwa
Twende sawaTehe tehe tehe [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nakusubiri nisha...........Twende sawa
Mkuu huoni tofauti wewe???Kwa akili yako unaona kati ya mungu na Mungu kuna tofaut siyo
Poa nakujaNakusubiri nisha...........
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Yule dada mrembo wema isack sepetu, madam, sepenga ambaye aliwah kuwa kada wa chadema na sasa kutimukia ccm amedai kuwa mkuu wa mkoa wa dar bwana paul makonda ni malaika aliyetumwa na mungu kuja kuwakomboa wanadamu
Hayo yamejir baada ya mkuu wa mkoa wa dar kumusaidia kijana ahmed kumpeleka china kwa matibabu kwa gharama zake mwenyewe
Wema amedai hakuna kama makonda na hatokaa atokee kama makonda
View attachment 704220
Wema yuko sahihi. Hata mimi naliona hilo.Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Yule dada mrembo wema isack sepetu, madam, sepenga ambaye aliwah kuwa kada wa chadema na sasa kutimukia ccm amedai kuwa mkuu wa mkoa wa dar bwana paul makonda ni malaika aliyetumwa na mungu kuja kuwakomboa wanadamu
Hayo yamejir baada ya mkuu wa mkoa wa dar kumusaidia kijana ahmed kumpeleka china kwa matibabu kwa gharama zake mwenyewe
Wema amedai hakuna kama makonda na hatokaa atokee kama makonda
View attachment 704220
Hahaha ccm oyeeeDaaah haujui km kuna tofauti ya mungu na Mungu aiseee, acha CCM itutawale tu
Yeye mwenyewe mpigwaji ampige nani?Kondaaaa!piga mzigo huo,acha uzwazwa mjini?
Uwiii jamani duh!Ha ha ha, mbona unaanza kuweweseka. Ulizaliwa tigoni? Duh.
Hivi watu wana njaa mpaka wanakuwa matahilaAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Yule dada mrembo wema isack sepetu, madam, sepenga ambaye aliwah kuwa kada wa chadema na sasa kutimukia ccm amedai kuwa mkuu wa mkoa wa dar bwana paul makonda ni malaika aliyetumwa na mungu kuja kuwakomboa wanadamu
Hayo yamejir baada ya mkuu wa mkoa wa dar kumusaidia kijana ahmed kumpeleka china kwa matibabu kwa gharama zake mwenyewe
Wema amedai hakuna kama makonda na hatokaa atokee kama makonda
View attachment 704220
WordUkishindwa kupambana nao ungana nao...go girl
izqR----[emoji6]' [emoji18] [emoji39] [emoji39] [emoji26] .yssjAman iwe nanyi wapendwa katika bwana