Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

Kwani shonza yupo siku hizi?! Maana hasikiki, yeye angeshachukua hatua za kumwita kumuadhibu mbele ya kamera za waandishi wa habari.
 
Mimi hapa niko kitengo cha basata sijaiona hiyo video ebu itume hiyo video niangalia kama imekiuka maadili niifungie
 
Siku hizi kuitisha press conference imekua kawaida sana bongo dah
 
Hivi waandishi hawana kazi, mtu anapost video akiliwa denda live bila chenga ustaarabu ziro
 
Waandishi wa habari na vyombo wasingekwenda kwa Wema nafikiri akili ndio zingemuota huyu dada.
Ni bora umiliki MBUZI KULIKO KUMUOA HUYU MDADA WEMA
 
Mpuuzi tu , wanajiposti ili watuombe radhi?
 

Mbona kazeeka hivyo.
Sasa anaomba radhi wakati aliamua kutuonyesha kuwa kunamtu kanaswa?
 
TCRA kwani wana meno siku hizi? angekuwa bado yupo CHADEMA leo ndio mgeelewa kama TCRA wanakubali upuuzi huo kwani hakuna asiyejua kuwa jambo hilo kwamba WM kalifanya makusudi na imekuwa ni stahili yao wanapokuwa wanatafuta kick...najua katumwa na *COCA ZERO" akaombe msamaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…