Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

Waandishi Wa Habari Wa Tanzania Ni Tatizo
Mnawezaje Kuitikia Wito Wa Huyo Mtu Anayejitia Aibu Kwa Kishindo Halafu Jamii Yake Wala Haijashtuka


Mjifunze Kuchagua
Mnapoitwa Na Kuitikia Wito
Huyo Dada Ni Wa Kupuuza
Utashangaa Kesho Eti Hii Nayo Itakuwa
Front Page


Wema Ni Wa Kupuuzwa
Ndiyo Alikuwa Kwenye" Mama Ongea Na Mwanao Campaign "
 
Na hicho kifua ndio kutuonyesha nini? Vaa vizuri unapotaka kufanya mambo yenye akili!! acha kutania utu uzima wewe!
 
Waandishi wamepigwa bahasha za kaki
 
Waandishi wamepigwa bahasha za kaki
Waandishi Njaa Na Kututia Aibu
Alifanya Kwa Makusudi Tulitegemea Hatua Kali Sana Dhidi Yake Siyo Atuletee Ngonjera



Yaani Bahasha Na Kesho Badala Wampuuze Wema Habari Zake Zitakuwa
Front Page
 
CCM aitakaa itoke madarakani kama kuna wajinga waandishi wa habari walioenda kwa Wema sepetu na vituo vya radio Ujinga na upumbavu na watanzania ni damudamu
 
CCM aitakaa itoke madarakani kama kuna wajinga waandishi wa habari walioenda kwa Wema sepetu na vituo vya radio Ujinga na upumbavu na watanzania ni damudamu
Labda ni mabloggers..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…