Wema Sepetu: Harmorapa unikome

Kwenye kuomba Kuna kukataliwa na kukubaliwa, kwa hiyo yote hayo majibu.
 
hamorapa kazia apo apo ukiona demu anakudis ujue anakutege tu. huo mzigo utakula ww endelea kukaza
 
Si ampe tu?mbona mondi alipewa.tena kipindi ambacho domo lake lilikuwa kubwa kama bangala.mi sioni tatizo.yaani kwagawia mastaa wote afu anataka kumbania rapperbolt?this is not fair sepenga.we mpe tu aenjoy huo msambwanda.
dah how come eeeeeeeeh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wema amsaidie tyu bhana...
Hata apige nae picha tu kiki ziongezeke
 
Hayo ndo maneno!!!
Huyo dogo sijui ni nini kinampa ujasiri
 
Hana lolote toka lini amekua mtu wakujiheshimu? Hamorapa apige kazi tu atengeneze vijisenti tu kama hakuja mwenyew na puru mkononi
 
Harmorapa nae umebugi,yani demu wetu wa Dar Huyo(cha wote) we unataka uowe kabisa umuweke ndani! Suala hilo hata angekuwa Diamond tungekataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…