certified mdokozi
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 1,403
- 814
Mwenzio kaona mbali kwa macho manne, ubunge huoo.....fursaaMadam Wema Sepetu toka ahamie CHADEMA anajiheshimu sana. Bravo madam
Mpe wewe basi kama imekuuma.Si ampe tu?mbona mondi alipewa.tena kipindi ambacho domo lake lilikuwa kubwa kama bangala.mi sioni tatizo.yaani kwagawia mastaa wote afu anataka kumbania rapperbolt?this is not fair sepenga.we mpe tu aenjoy huo msambwanda.
Duuuuh dogo kaumbuka
Ohooooo!!!Jogoo la shamba limelia mjini
Kakufanya nini hadi wamchukia?Simpendi huyu harmorapa sijui nyani rapa mimi
Hunishindi mimi mkuuSimpendi huyu harmorapa sijui nyani rapa mimi