Wema Sepetu kajipeleka kwa mume wa Zari, Ivan

juzi alivoeka picha yupo na ommy shabiki wakasema ooh jamani tumefurahi jamaa 1 akauliza mmefurahi mmetiwa nyie???watu bana yan bwana wa madam ni bwana wa kikosi lol

haaaaajhhhhhhha angekua mtu mwingine hapo huyo dogi tungekoma yani angejutraaaaw
 
Na yeye ndo kaenda kutafuta mimba nini? siku hizi mtaan kila mtu anafanya projekt
 
Nacheka na komenti tu mie, ,wema anampenda Daimond mpaka anachanganyikiwaa aisee kwa hao Richgangs sijuiii tutaona mwisho wakeee
 

Sasa hata Kama akitiwa kuna mtu kamkopa MAKU???? kuna watu wanatiwa zaidi ya Wema tena bure bure si bora yeye analipwa..
 
Kwa uchambuzi wa hapa mpaka muda huu kuhusu huyo aliyetajwa kama mume wa zari na tabia anazotajwa kuwa nazo kama ni kweli wadada wana kazi jamani.Najiuliza hata huyo zari aliwezaje kukaa na mwanaume mwenye tabia kama hizo mpaka akazaa na watoto. Pesa ni janga la kitaifa kwa kweli dada zetu wanadhalilika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…