Wema Sepetu kwanini anadanganya umri? Ushahidi huu hapa

According to Mange, Wema alidanganya umri! Wakati anashinda Miss Tanzania umri wake wa kweli ulikuwa miaka 16 na hiyo ilikuwa mwaka 2006.
 
Wizo nakusemea kwa bro [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo ni best yangu jamanii, mbona unataka kunivurugia ndoa wizooo, ntakunyuka vishavu vyako hivyo, muone kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema wema sepetu amejutunza Sana hata akisema ana 21 huwezi kukataa she is looking good.

Age is nothing but a number
 
Wema ni wa 1990....
Sema faili lake la matukio limejaa kutuzidi sisi dada zake..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu hawataki kuitwa mabibi mjini hapa..
 

Umri ni namba tu, mwenyewe anajihisi 33, wewe inakuwasha nini?

Tena mie namhisi kama 24 tu.
 
Ungemuuliza mama yake angekupa umri sahihi wa mwanae! Vinginevyo Birth Certificate ni muhimu.
 

Ingawa nimekujibu juu huko, nimeona nikuongezee fikra kidogo.

Inawezekana alidanganya na kujiongezea miaka ili apate kuingia kwenye u miss Tanzania.

Hapo vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…