SIMEON KATATANAMA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 479
- 277
Hawa ni nyoka wadogo sana. Hawa hawawezi kupita Mwalimu Nyerere International Airport na KIA bila kukamatwa.View attachment 466457
Akitoa taarifa katika kipindi cha infomer cha clouds FM kufuatia msako wa kukamata wahusika wa madawa ya kulevya alichofanya mkuu wa mkoa Paul makonda.
Askari 9 wamekamatwa wakishirikia na wauza madawa ya kulevya Huku wasanii watumiaji wa madawa hayo wakitajwa na kutakiwa kuripoti polisi wenyewe mapema ,
wasanii waliotajwa na kutakiwa kuripoti polisi ni
1. Wema sepetu
2. Petiman wakuache
3. TID
4. Mr. Blue
5. Recho(kizunguzungu)
SOURCE; Clouds FM (Informer)
NB: Suala la Dawa za Kulevya limikuwa likizungumziwa na kupewa kipaombele kwa muda mrefu hapa JamiiForums. Kwa taarifa zaidi tembelea mada hii, kupata orodha ya mada nyingine nyingi zinazojadili suala hili - Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!
Makonda wataje wale ambao huwa wanapitisha mzigo Airports zetu bila kukamatwa.