Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Yeye,mkuu wa mkoa,inaonekana anaushahidi ndomana kawataja,tusubiri tuone,nn kitaendelea.
 
Mkuu saa hizi Mange kule ni usiku amelala ngoja aamke utashangaa jinsi atakavyo msaidia makonda kumuongezea List, na hapo atafuta yale matusi yote ya Makonda itabaki sifa tu.
Nenda kwa Mange...tayari mbona
 
Umesoma mwenge primary?

We are schoolmates
 
ulishawahi sikia neno "saidia polisi?"[emoji2] [emoji2] [emoji2] kidding
 
Mange kimambi pls say somthing on this
Mange na yeye uwa kuna watu ambao uwa wakisemwa basi uwa analalamika.
leo anasema eti makonda kawdhalilisha wanaweza mfungulia mashtaka nikabaki najiuliza yeye anaowataja mbona uwa hasemi kuwa kawadhalilisha wamfungulie mashtaka maana kawataja wengi japo pia ambao uwa anawataja watu wanadai kweli wauza unga.
then nikacheka comment za wapambe eti wanadai mlengwa hapo ni wema eti wasafi na muna love wamemchongea wema kwa makonda ili wamkomoe yani nimecheka
 
Vita hii haiwezi ataishia kama alivyo ishia amina chifupa
Hii ngoma aicheze mkuu wa kaya tena ile kikatili kama prezdaa wa Philippines anavyofanya la sivyo itabiki story tu
 
Mkuu Makonda kaza uzi,

Ndio umekosea kuwataja unless una ushahidi hao watu uliowataja wanatumia madawa ya kulevya,

Ungewafuata majumbani kwao( caught ready handed lol,)

Wajinga sana hao,eti kwenye social media wanalalamika umewachafua????,

Hivi hawajui kuna kipimo cha kupimia madawa ya kulevya kwenye damu?hata kama wewe sio mtumiaji kinaonyesha....

Waambie wakupeleke mahakamani kama wanaweza....πŸ˜€πŸ˜€

Mkuu huko majela ,kuwe sehemu ya tiba,kwa kipindi labda cha miezi sita wakae jela,huko iwe kama rehab,akitoka sio awe frustrated zaidi aingie tena kwenye hayo madawa,bali awe mtu mwingine,(corection facility)

Hii war hautashinda peke yako,unahitaji coperation kutoka police,hospitali,uwanja wa ndege etc


Pia kama lipo ndani ya uwezo wako,jenga vituo hata vitatu kwa kuanzia,hapo Dar watu wapate huduma ya magonjwa ya akili,its soo sad kumuona ndugu yako akipotea hivi hivi,ukijenga vituo itakuwa first contact centre,baadae kama mtu anaumwa sana anaweza kupata referal kwa hospital kwa uangalizi mkubwa.

Sio kweli madawa ya kulevya yamezidi bali kwa sasa limeibuka juu,hasa baada ya wasanii kujiingiza humo,Amina Chifupa RIP} atakumbukwa daima kwa vita hii....

Pia ongea na mkuu wa kaya,medicine sio physical na dental peke yake,medicine ni pamoja na afya ya akili,FUNDS ZIELEKEZWE NA ZIPEWE KIPAUMBELE to students who want to study psychiatry!!

Yaani leo ukitaka kwenda hospital labda unahisi una malaria,hatua ishirini tu dispensary hio,wakati ukiumwa depression ama magonjwa mengine ya akili sio rahisi kupata matibabu.

Kama mmoja kati ya wanne alishawahi kuexperience tatizo la akili kama mkuu alivyosema,then na hospital zijengwe kwa asilimia hizo hizo,tunataka KATIKA HOSIPTALS NNE,MOJAWAPO IWE NA PSYCHIATRY SERVICES,!!!!!

HELLO JFπŸ™„
 
Nawewe inabidi ukamatwe,,tunahisi ni mmojawapo,, NGOJEA tuwaambie tusk force wakuje kukudakaπŸ˜€
Kaka hata si kulaumu,sio wewe tu watanzania wengi wako kama wewe,hawajua haki zao za kimsingi,hawajui kwanini tuko duniani.wengi wanaishi hawajui wataamka vipi asubuhi ya kesho,na ndio maana wakati wa kampeni za uchaguzi Lowasa alisema watanzania wanahitaji "Elimu,Elimu,Elimu"
 
Bavicha hakuna kitu atakifanya makonda mka appreciate nyie ni kupenda tu
 
Nawewe inabidi ukamatwe,,tunahisi ni mmojawapo,, NGOJEA tuwaambie tusk force wakuje kukudakaπŸ˜€
Sikulaumu kaka,ndio hulka za watanzania zilivyo,lakini je unajua haki zako za msingi,je unajua kawanini uko hapa duniani,je unajua kuwa kama umesingiziwa kesi inabibidi ulipwe,je unajua tuhuma kam hizo zinaweza kuwafanya watu wengine wapoteza maisha au wapate wazimu,Je kama ikitokea mmoja kati ya hao watu waliotajwa amejiua au ameuliwa kutokana na kutajwa kwake kuwa ni muuza madawa,je Makonda ashtakiwe.....
 
Wema sepetu anyongwe jamani kaaribu mamilioni ya Watz
when i remember her in the so called project, namely "MAMA MKANYE MWANAO", I end up in a deep laughter!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…