Mkuu Makonda kaza uzi,
Ndio umekosea kuwataja unless una ushahidi hao watu uliowataja wanatumia madawa ya kulevya,
Ungewafuata majumbani kwao( caught ready handed lol,)
Wajinga sana hao,eti kwenye social media wanalalamika umewachafua????,
Hivi hawajui kuna kipimo cha kupimia madawa ya kulevya kwenye damu?hata kama wewe sio mtumiaji kinaonyesha....
Waambie wakupeleke mahakamani kama wanaweza....😀😀
Mkuu huko majela ,kuwe sehemu ya tiba,kwa kipindi labda cha miezi sita wakae jela,huko iwe kama rehab,akitoka sio awe frustrated zaidi aingie tena kwenye hayo madawa,bali awe mtu mwingine,(corection facility)
Hii war hautashinda peke yako,unahitaji coperation kutoka police,hospitali,uwanja wa ndege etc
Pia kama lipo ndani ya uwezo wako,jenga vituo hata vitatu kwa kuanzia,hapo Dar watu wapate huduma ya magonjwa ya akili,its soo sad kumuona ndugu yako akipotea hivi hivi,ukijenga vituo itakuwa first contact centre,baadae kama mtu anaumwa sana anaweza kupata referal kwa hospital kwa uangalizi mkubwa.
Sio kweli madawa ya kulevya yamezidi bali kwa sasa limeibuka juu,hasa baada ya wasanii kujiingiza humo,Amina Chifupa RIP} atakumbukwa daima kwa vita hii....
Pia ongea na mkuu wa kaya,medicine sio physical na dental peke yake,medicine ni pamoja na afya ya akili,FUNDS ZIELEKEZWE NA ZIPEWE KIPAUMBELE to students who want to study psychiatry!!
Yaani leo ukitaka kwenda hospital labda unahisi una malaria,hatua ishirini tu dispensary hio,wakati ukiumwa depression ama magonjwa mengine ya akili sio rahisi kupata matibabu.
Kama mmoja kati ya wanne alishawahi kuexperience tatizo la akili kama mkuu alivyosema,then na hospital zijengwe kwa asilimia hizo hizo,tunataka KATIKA HOSIPTALS NNE,MOJAWAPO IWE NA PSYCHIATRY SERVICES,!!!!!
HELLO JF🙄