Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Ndipo hapo naona Makonda anaweza kuongoza zaidi ya Mwigulu aliyeenda kumsalimia mtumia madawa bila kutoa kalipio. Nadhani Mh Mwigulu nafasi ile anaitumia kula Per Diem tu kwa kusafiri.
Hili nalo neno!
 
Naona unachagua cha kuandika, vingine una ignore. Inawezekana pia conflict of interest ipo na ni juu ya Wema kuiweka wazi. Talking about bad timing, sijui kesho alikuwa anazindua nini! Lakini kila mtu akumbuke atavuna alichopanda.
 
Kula shavu la uwakili wa watuhumiwa mkuu
Nchi haina sheria,huyo wakili atambiwa na yeye anahusika,hushangai wanafungwa wabunge waliochaguliwa na wananchi kwa kesi zisizo mbele wala nyuma
 
askar wenyewe ni watuhumiwa mkuu!!
 
Siasa hazijengi mkuu

Sent from my SGH-M919 using JamiiForums mobile app
Siasa gani Kaka,hoja yangu ni kwamba huwezi kumfunga mtu na kumdhalilisha mtu, kutaja majina ya watu,sijui hapa Tanzania lakini kwa nchi za watu wanafahamu utu na sheria hilo ni kosa kubwa sana,na kama umekutikana huna kosa kumbe zilikuwa dhana tu,basi na kulipwa utalipwa
 
Mbona yule mumewe Shamimu wa 8020 blog hayupo? Mange alisema yule jamaa naye nuksi hapa mjini.
 
ala eti watu wanaiwekea vikwazo jf. watz bwana.
hebu ona taarifa nyeti kama hizi!
 
Ok hapo umeeleweka ...maandishi yako awali uliweka kiukakasi[emoji23]
 
Naona unachagua cha kuandika, vingine una ignore. Inawezekana pia conflict of interest ipo na ni juu ya Wema kuiweka wazi. Talking about bad timing, sijui kesho alikuwa anazindua nini! Lakini kila mtu akumbuke atavuna alichopanda.
Sina interest yoyote in this saga ila tu kinacho nistaajabisha ni jinsi watu wanavyokuza watu kiasi kwamba kila baya linalowakuta wanahisi ni njama za kumshusha yeye.
Ina maana hata hao askari 9 wametolewa mbuzi wa kafara ila target alikuwa yeye?
 
Hii inaitwa nitoke vipi ya makonda. Hakuna kitakachotokea, Makonda ni mzee wa maigizo, hana lolote zaidi ya kutafuta umaarufu kupitia hao wasanii. Mkuu wa mkoa badala ya kuchukua hatua, una kazi ya kubwabwaja kwenye media(clouds)
you are just being too negative.. not because makonda hafanyi kitu ila ndivyo ulivyo... the boy is trying his best... na tofauti yako na yeye ni kwamba u are not mkuu wa mkoa ila mshangiliaji na mtoa negative comment.... God bless makonda kwa kujaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…