Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mbona Kajala alimthibiti kijana kwa muda mrefu tu mjini hapa kabla hajapata matatizo.Nipe ubuyu Kajala ndio jina la jela au kunani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Kajala alimthibiti kijana kwa muda mrefu tu mjini hapa kabla hajapata matatizo.Nipe ubuyu Kajala ndio jina la jela au kunani?
Mbona Kajala alimthibiti kijana kwa muda mrefu tu mjini hapa kabla hajapata matatizo.
Kadogo haka kasani sana badala ya kuelezea kwanini wanafunzi wake wamefeli anajifanya kuwaondoa watu kwenye mada.Amewaja Kwa majina? Na kama kweli amewachikilia hatua gani?
Hii nimeipenda, na ndio njia pekee tutafika, tutoleane aibu, tuondoe urafiki na kujuana.
Vipi chid benzi, vipi na hawa wengine ambao inasemekena ni wauzaji nguli. ?
nacheeeka kwq dharaaaau[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pigo jingine kwa wema sepenga hili.....
Hahaha nimekuelewa sana.Utakuwa na heshima sana mkuu na heshima yako haibagui haichagui.
Makonda akishtakiwa na Mange kimambi pia ashtakiwe, kwani kama issue ni kudhalilishana hata mange pia huwa anawadhalilisha Wale ambao huwa anawataja, see how interesting is this!Sikulaumu kaka,ndio hulka za watanzania zilivyo,lakini je unajua haki zako za msingi,je unajua kawanini uko hapa duniani,je unajua kuwa kama umesingiziwa kesi inabibidi ulipwe,je unajua tuhuma kam hizo zinaweza kuwafanya watu wengine wapoteza maisha au wapate wazimu,Je kama ikitokea mmoja kati ya hao watu waliotajwa amejiua au ameuliwa kutokana na kutajwa kwake kuwa ni muuza madawa,je Makonda ashtakiwe.....
Kwanini usimsaidie kuwataja mkuu, Kwani Tz ni ya makonda pekee.Kadogo haka kasani sana badala ya kuelezea kwanini wanafunzi wake wamefeli anajifanya kuwaondoa watu kwenye mada.
Mbona waletaji na wasambazaji kawaacha wakati anawajua.?
Unaenda kuhangaika na Makomeo ambaye hata maisha yake ni shida tupu.
Eti Swai wakati Swai anakimbizana na mateja kinondoni. Jamani hata aibu huoni dogo taja vigogo achana na walaji zuwia unga usiingie.
Au na wewe tano tano zinakupitia?
kaswali kazuriKwanini usimsaidie kuwataja mkuu, Kwani Tz ni ya makonda pekee.
Wanadili pamoja ndiyo maana hawataji hilo ni jukumu lake kwakuwa tunamlipa kwa kazi hiyoKwanini usimsaidie kuwataja mkuu, Kwani Tz ni ya makonda pekee.
Mzee wa king'oko alianza zamani na kina LangaHivi yule jamaa nae alikuwa anatumia?
i do pongeza yeye sanaTumpongeze Mkuu wa Mkoa kwa kujitosa ktk vita hii ngumu.
Kitendo cha kuwataja hao, ni ujasiri mkubwa.
Kila mtu atakufa, asiogope.
MUNGU AWE NAYE.
True..vita dhidi ya madawa ya kulevya (narcotics) ni vita moja ngumu sana. Marekani wenyew wameshasanda. ni mara mia ukapigane vita Afghanistan kuliko kupigana vita na drug dealers. Mnyororo wake ni mrefu sana na usikute hata makonda mwenyew yupo kwenye hiyo chain bila kujijua.