Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

Na hizi dilpomatic pasport kwa hawa wasanii na safari za China ziangaliwe kwa ukaribu sasa maana huko China na South wamepeleka sana
 
Mbona Kajala alimthibiti kijana kwa muda mrefu tu mjini hapa kabla hajapata matatizo.

Basi nilipitwaa, kumbe....wow

nilifikiri Esma alirudi kwa mumewe wapo happy, baada ya kushindwa kuvunja mahusiano ya kaka yake.

Naona na Wema come back yake ya Alhamisi, hakuitoa tena baada ya kusubirisha fans wake.
 
JK aliwahi kuongea kuhusu list anayo...na inahusu viongozi wa Dini wa kubwa...tuanze huko
 
Amewaja Kwa majina? Na kama kweli amewachikilia hatua gani?
Kadogo haka kasani sana badala ya kuelezea kwanini wanafunzi wake wamefeli anajifanya kuwaondoa watu kwenye mada.
Mbona waletaji na wasambazaji kawaacha wakati anawajua.?
Unaenda kuhangaika na Makomeo ambaye hata maisha yake ni shida tupu.
Eti Swai wakati Swai anakimbizana na mateja kinondoni. Jamani hata aibu huoni dogo taja vigogo achana na walaji zuwia unga usiingie.
Au na wewe tano tano zinakupitia?
Hii nimeipenda, na ndio njia pekee tutafika, tutoleane aibu, tuondoe urafiki na kujuana.

Vipi chid benzi, vipi na hawa wengine ambao inasemekena ni wauzaji nguli. ?
 
Huyu dogo ana juhudi sana ya kutaka kuonesha Dunia kuwa anaweza, I like these kinds of Citizens /Leaders but is he prepared? Sio suala la kusema eti "kama ni kupoteza cjui U'RC au Uhai niko tayari! C'mon man, this is about your career & your life that you've created tangu tukiwa CHUO CHA USHIRIKA - MOSHI, even beyond that.
Nisingependa kuona unapoteza VISION yako this easy! Hawa viumbe wa Madawa ya kulevya wapo enzi na enzi, wakubwa kadhaa wamewakimbia, ila kama utanihakikishia kuwa una ulinzi wa kutosha nitaacha uendelee na mpambano huu, otherwise no! Unajua kilichomuua Kamanda Barrow aliyekuwa RPC Mwanza?
 
Sikulaumu kaka,ndio hulka za watanzania zilivyo,lakini je unajua haki zako za msingi,je unajua kawanini uko hapa duniani,je unajua kuwa kama umesingiziwa kesi inabibidi ulipwe,je unajua tuhuma kam hizo zinaweza kuwafanya watu wengine wapoteza maisha au wapate wazimu,Je kama ikitokea mmoja kati ya hao watu waliotajwa amejiua au ameuliwa kutokana na kutajwa kwake kuwa ni muuza madawa,je Makonda ashtakiwe.....
Makonda akishtakiwa na Mange kimambi pia ashtakiwe, kwani kama issue ni kudhalilishana hata mange pia huwa anawadhalilisha Wale ambao huwa anawataja, see how interesting is this!

Mange kachemka hadi nimecheka eti makonda afunguliwe mashitaka kwa udhalilishaji, mara hii kasahau kama hata yeye huwa anafanya vivyo hivyo.
 
Kadogo haka kasani sana badala ya kuelezea kwanini wanafunzi wake wamefeli anajifanya kuwaondoa watu kwenye mada.
Mbona waletaji na wasambazaji kawaacha wakati anawajua.?
Unaenda kuhangaika na Makomeo ambaye hata maisha yake ni shida tupu.
Eti Swai wakati Swai anakimbizana na mateja kinondoni. Jamani hata aibu huoni dogo taja vigogo achana na walaji zuwia unga usiingie.
Au na wewe tano tano zinakupitia?
Kwanini usimsaidie kuwataja mkuu, Kwani Tz ni ya makonda pekee.
 
Daah, heri yako wewe wa dar, huku mbeya Askari polisi wanakusanya pesa za gongo na madawa ya kulevya kila jumamosi na kupeleka kwa mkuu wao, wako askari rafiki wanaosema hawapendi lakini hawana namna sabbu ndio maagizo wanayopewa.! Mama John kwa mwambela. Utakuta madawa ya kulevya.. Ukienda mtaa huohuo chini kidogo kuna kiwanda cha gongo.! Hakuna asiye yajua haya. Lakini serikali ya mkoa imewekwa mfukoni. Mwa watu wachache.. Nawasilisha..
 
Tumpongeze Mkuu wa Mkoa kwa kujitosa ktk vita hii ngumu.

Kitendo cha kuwataja hao, ni ujasiri mkubwa.
Kila mtu atakufa, asiogope.
MUNGU AWE NAYE.
 
Haji manara akamuoe sasa huyo teja hahahaha wema.alaaaa ndio maana Diamond akamtemaaaa
 
vita dhidi ya madawa ya kulevya (narcotics) ni vita moja ngumu sana. Marekani wenyew wameshasanda. ni mara mia ukapigane vita Afghanistan kuliko kupigana vita na drug dealers. Mnyororo wake ni mrefu sana na usikute hata makonda mwenyew yupo kwenye hiyo chain bila kujijua.
 
True..
 
Back
Top Bottom