Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
E mzima? Eti mahaba ndindi ndiyo nini sasa idiotMsanii wa bongo movie Wema Sepetu na msanii wa bongo flava Whozu wako kwenye mahaba mazito kwa muda sasa.
Hii video hapa chini inawaonesha wawili hao wakisherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Wema kwa mabusu motomoto na inasemekana Whozu alimfanyia ex madame surprise ya maua na keki.
Kweli wakati ukuta. Aliyezoea kupewa surprise za BMW, raaaaaaange na Murano siku za birthday yake sasa anapewa surprise za maua na keki.
View attachment 2370614
Na kuna umri ukifika hutakiwi kutembea na kina "whozu"Siku zote mwanamke huwa anafukuzana na muda,
Kuna umri ukifika utabaki kuwa na mvuto tu, lakini uzuri unapungua.
Tena kama hufanya mazoezi kama ambavyo dada zetu wengu hampendi, ndiyo basi tena.
Men age like wine, women age like milk. Wafaransa husema C'est La Vie (Such is life)..................
Wema kawa kama Mandonga tu.
Wema anachekesha amekuwa kituko kama masha
ZiView attachment 2371688wakati ukuta,wenzake wakina faraja kota,k lyn walidanga kwa akili..huyu yeye aliendekeza sifa
Big Boyz gani anataka mifupa fupa 😂😂😂? Mie mwenyewe nataka mtoto alionona nikahangaike na bibi bomba wa kazi gani? Yani nijikute tu natembea na demu mbovu kama Wema?😂Na kuna umri ukifika hutakiwi kutembea na kina "whozu"
Yaani big boys waliojaa mjini hapa ndo kaenda kwa hako katoto?
Kweli Wema akili hana.
Msanii wa bongo movie Wema Sepetu na msanii wa bongo flava Whozu wako kwenye mahaba mazito kwa muda sasa.
Hii video hapa chini inawaonesha wawili hao wakisherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Wema kwa mabusu motomoto na inasemekana Whozu alimfanyia ex madame surprise ya maua na keki.
Kweli wakati ukuta. Aliyezoea kupewa surprise za BMW, raaaaaaange na Murano siku za birthday yake sasa anapewa surprise za maua na keki.
View attachment 2370614
Big boys hawana time na screpa au magari ya mkaa namba E zipo kibao.Na kuna umri ukifika hutakiwi kutembea na kina "whozu"
Yaani big boys waliojaa mjini hapa ndo kaenda kwa hako katoto?
Kweli Wema akili hana.
HiyO mashine imechakazwa Sana,DP jaman sio kwa michano hiyooo
Nakazia[emoji4]Mi Wema wa sasa bora Nyeto.
Amu, Big Boys want young Girls because they are malleable and youthful (Trophy Wives).......Na kuna umri ukifika hutakiwi kutembea na kina "whozu"
Yaani big boys waliojaa mjini hapa ndo kaenda kwa hako katoto?
Kweli Wema akili hana.
Hii ni caldera au?