Wema Sepetu na Whozu mahaba ndindindi

Wema Sepetu na Whozu mahaba ndindindi

Mwanaum
Msanii wa bongo movie Wema Sepetu na msanii wa bongo flava Whozu wako kwenye mahaba mazito kwa muda sasa.

Hii video hapa chini inawaonesha wawili hao wakisherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Wema kwa mabusu motomoto na inasemekana Whozu alimfanyia ex madame surprise ya maua na keki.

Kweli wakati ukuta. Aliyezoea kupewa surprise za BMW, raaaaaaange na Murano siku za birthday yake sasa anapewa surprise za maua na keki.
View attachment 2370614
E mzima? Eti mahaba ndindi ndiyo nini sasa idiot
 
Siku zote mwanamke huwa anafukuzana na muda,
Kuna umri ukifika utabaki kuwa na mvuto tu, lakini uzuri unapungua.
Tena kama hufanya mazoezi kama ambavyo dada zetu wengu hampendi, ndiyo basi tena.
Men age like wine, women age like milk. Wafaransa husema C'est La Vie (Such is life)..................
Na kuna umri ukifika hutakiwi kutembea na kina "whozu"
Yaani big boys waliojaa mjini hapa ndo kaenda kwa hako katoto?
Kweli Wema akili hana.
 
Hizi ndio Zama ambazo huyu mtoto alikuwa wamoto sana wasanii waliandika verse kumsifia. Waliomfaidi huyu mtoto ni Chief wa Msoga, Mr.Blue, Clement Ikulu, Mondi alimalizia malizia tu. Kipindi kile mtoto ana mzigo wa kwenda 😂😂😂!

Whozu kadandia mtumbwi wa vibwengo hakiyanani!
View attachment 2371688wakati ukuta,wenzake wakina faraja kota,k lyn walidanga kwa akili..huyu yeye aliendekeza sifa
Zi
 
Na kuna umri ukifika hutakiwi kutembea na kina "whozu"
Yaani big boys waliojaa mjini hapa ndo kaenda kwa hako katoto?
Kweli Wema akili hana.
Big Boyz gani anataka mifupa fupa 😂😂😂? Mie mwenyewe nataka mtoto alionona nikahangaike na bibi bomba wa kazi gani? Yani nijikute tu natembea na demu mbovu kama Wema?😂
 
Msanii wa bongo movie Wema Sepetu na msanii wa bongo flava Whozu wako kwenye mahaba mazito kwa muda sasa.

Hii video hapa chini inawaonesha wawili hao wakisherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Wema kwa mabusu motomoto na inasemekana Whozu alimfanyia ex madame surprise ya maua na keki.

Kweli wakati ukuta. Aliyezoea kupewa surprise za BMW, raaaaaaange na Murano siku za birthday yake sasa anapewa surprise za maua na keki.
View attachment 2370614

Hivi papuchi yake bado ipo? Nilifikiri imeliwa na kuisha tayari
 
FB_IMG_1664283752810.jpg
 
Na kuna umri ukifika hutakiwi kutembea na kina "whozu"
Yaani big boys waliojaa mjini hapa ndo kaenda kwa hako katoto?
Kweli Wema akili hana.
Amu, Big Boys want young Girls because they are malleable and youthful (Trophy Wives).......
Kuna umri unafika hawa Big Boys hawavutiwi nawe tena, ndilo linalomkuta Wema kipindi hiki.......
 
Back
Top Bottom