Wema Sepetu, nakushauri fanya maamuzi ya kuasili mtoto

Wema Sepetu, nakushauri fanya maamuzi ya kuasili mtoto

Siwezi kum - judge labda pengine anaumwa / au ana shida maana haya mambo ya ujauzito na kuzaa ni ya Mwenyezi Mungu wakati mwingine.

Kuasili pia kunahitaji vitu vingi, yaani yule unayemuasili apate mahitaji muhimu kuliko yale aliyonayo / ambayo hana kabisa. Ni gharama.

Atapata tu, kuna njia mbali mbali za kupata mimba siku hizi, mfano kupandikiza n.k
 
Kwani mtoto anakula nini ambacho Wema atashindwa kukimudu?

Wema ana nyota ,inbox ya Wema madanga yamejaa yanapigana vikumbo.


Kama anaweza kulilea zee zima Whozu ndo ashindwe kummudu mtoto?
Kwani huyo Whozu analelewa na Wema? Nachojua Whozu ni Star na ana income yake nzuri tu. Iweje alelewe na Wema?.
 
Back
Top Bottom