Wema Sepetu, nakushauri fanya maamuzi ya kuasili mtoto

Kiukweli miongoni mwa mambo ambayo anashauku nayo Wema Sepetu basi ni kupata mtoto.

Wema ameshajaribu kila namna kupata mtoto lakini anaambulia patupu zaidi na zaidi alichobakisha sasa hivi ni kungojea tu kudra za Mwenyezi Mungu aweze kumbariki na yeye siku moja aitwe mama.

Lakini kiuhalisi ni ngumu sana kwa yeye kupata ujauzito ,kwanza kitendo tu cha yeye kukata utumbo ili kutengeneza figure anayoitaka yeye ni sababu tosha kwa yeye kushika ujauzito pia lifestyle analoishi na vitu vileeeeeeee anavyotumia vinazidi kuleta ugumu kwa yeye kushika ujauzito .

Sasa kitu pekee ambacho nachoweza kumshauri ni kumuasili mtoto kisheria awe mtoto wake na hilo ni jambo la kawaida sana kwa mastaa ajaribu kuangalia hata mastaa wa nje ambao waliona hawataweza kupata watoto basi waliamua kuwaasili watoto na mpaka leo wanatambulika rasmi kama watoto wao.

Kama ni starehe Wema ameshakula sana ,sasa kilichobaki ni kulea maana umri unazidi kumtupa mkono kuendelea kuishi maisha ya kisichana kunamshushia brand yake kimtindo.

Uamuzi wa kuasili mtoto ndio utakuwa uamuzi sahihi zaidi kwake kuliko kuhangaika na hiko ki Manunu na kukichukulia kama binadamu

View attachment 2808272
Kila Mama ni mwanamke ,lakini si kila mwanamke ni Mama.
 
Una sababu za kitoto sana.

Mara ya mwisho Wema kushika mimba alishika mimba ya Kanumba, na nafikiria mpaka Jumbe pia aliwahi kubeba mimba yake akaitoa.

Diamond Platnumz pia kuna tetesi Wema alitoa mimba yake pia.

Zaidi na hapo hakuwahi tena kubeba mimba.
Wewe haumjui wema vizuri na hujui nilichokiandika Ila sitaki ligi na wewe hususani inayohusu Maisha ya mtu nnaemweshimu it doesn't matter anapitia wakati gani, what I believe wakati wake ukifika mtashangaa Mimi nimetoa km option tu sio sababu za kitoto unaweza ukaona za kitoto kumbe ndio suluhisho na akafanyia kazi akashika ujauzito na mtoto akapata utasemaje?
 
ASHKURU MUNGU KWA KUKOSA MTOTO, AKIWEZA AENDE NA KUTAMBIKA.
MTU KUTWA KUSHINDA NA MASHOGA, PENGINE MTOTO ANGEKUJA KUWA SHOGA.
 
Wewe haumjui wema vizuri na hujui nilichokiandika Ila sitaki ligi na wewe hususani inayohusu Maisha ya mtu nnaemweshimu it doesn't matter anapitia wakati gani, what I believe wakati wake ukifika mtashangaa Mimi nimetoa km option tu sio sababu za kitoto unaweza ukaona za kitoto kumbe ndio suluhisho na akafanyia kazi akashika ujauzito na mtoto akapata utasemaje?
Mimi huyo simjui Wema vizuri.

Aisee pole sana.
 
Kuasili mtoto ni mchakato wenye changamoto zake. Hapa chini ni baadhi ya hatari zinazoweza kujitokeza katika mchakato huo:

Changamoto za Kihisia: Kuasili mtoto kunaweza kuwa na athari kihisia kwa wazazi wanaoasili na mtoto mwenyewe. Wazazi wanaweza kukabiliana na hisia za wasiwasi, hatia, au hofu ya kukosa uhusiano wa kina na mtoto wao.

Changamoto za Kimahusiano: Kuasili mtoto kunaweza kuathiri uhusiano wa familia na watu wa karibu. Familia inaweza kukabiliana na upinzani au kutokuwepo kwa uelewa kutoka kwa ndugu au marafiki.

Changamoto za Kisheria na Utawala: Mchakato wa kuasili mtoto unahitaji kukidhi taratibu za kisheria na utawala, ambazo zinaweza kuwa ngumu na kuchukua muda mrefu. Hii inaweza kusababisha usumbufu na wasiwasi kwa wazazi wanaotaka kuasili.

Changamoto za Kifedha: Kuasili mtoto kunahusisha gharama, pamoja na ada za kisheria, gharama za matibabu, na mahitaji ya kila siku ya mtoto. Hii inaweza kuwa mzigo wa kifedha kwa familia.

Changamoto za Kulea: Kuasili mtoto kunaweza kuja na changamoto za kulea na malezi. Kulea mtoto aliyeasiliwa kunaweza kuhitaji ustadi maalum, kujenga uhusiano wa kuaminiana, na kutatua masuala ambayo yanaweza kutokea kutokana na historia ya mtoto.
Chart GPT [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli watu wamekua vilaza yaani umeshindwa kufikiri Hadi utumie roboti
 
Kiukweli miongoni mwa mambo ambayo anashauku nayo Wema Sepetu basi ni kupata mtoto.

Wema ameshajaribu kila namna kupata mtoto lakini anaambulia patupu zaidi na zaidi alichobakisha sasa hivi ni kungojea tu kudra za Mwenyezi Mungu aweze kumbariki na yeye siku moja aitwe mama.

Lakini kiuhalisi ni ngumu sana kwa yeye kupata ujauzito ,kwanza kitendo tu cha yeye kukata utumbo ili kutengeneza figure anayoitaka yeye ni sababu tosha kwa yeye kushika ujauzito pia lifestyle analoishi na vitu vileeeeeeee anavyotumia vinazidi kuleta ugumu kwa yeye kushika ujauzito .

Sasa kitu pekee ambacho nachoweza kumshauri ni kumuasili mtoto kisheria awe mtoto wake na hilo ni jambo la kawaida sana kwa mastaa ajaribu kuangalia hata mastaa wa nje ambao waliona hawataweza kupata watoto basi waliamua kuwaasili watoto na mpaka leo wanatambulika rasmi kama watoto wao.

Kama ni starehe Wema ameshakula sana ,sasa kilichobaki ni kulea maana umri unazidi kumtupa mkono kuendelea kuishi maisha ya kisichana kunamshushia brand yake kimtindo.

Uamuzi wa kuasili mtoto ndio utakuwa uamuzi sahihi zaidi kwake kuliko kuhangaika na hiko ki Manunu na kukichukulia kama binadamu

View attachment 2808272
Hivi wewe ni Nani Kwa Wema mpaka uanze kumshauri hapa? Hivi huna ndugu zako wa kuwashauri mpaka uanze kujipendekeza Kwa Wema?
Fanya yako Wema ana watu kibao Tu wa kumpa ushauri, au kama unahisi wewe ndio atakusikiliza basi mfate nyumbani kwake na sio kutafuta cheap popularity hapa[emoji16][emoji16]
 
Huyo ni celebrity lazima tumjadili.
 
Ana kipato gani cha kuasili mtoto?

Mtoto wa kuasili bila kipato cha maana atakukimbia tuu...

Yani uniasili kisha ukanipigishe jua? Si bora nijirudie kwetu tuu?
taja bei yako chap kuna muindi anataka mtoto
 
Back
Top Bottom