Wema Sepetu, nakushauri fanya maamuzi ya kuasili mtoto

Kuasili mtoto ni mchakato wenye changamoto zake. Hapa chini ni baadhi ya hatari zinazoweza kujitokeza katika mchakato huo:

Changamoto za Kihisia: Kuasili mtoto kunaweza kuwa na athari kihisia kwa wazazi wanaoasili na mtoto mwenyewe. Wazazi wanaweza kukabiliana na hisia za wasiwasi, hatia, au hofu ya kukosa uhusiano wa kina na mtoto wao.

Changamoto za Kimahusiano: Kuasili mtoto kunaweza kuathiri uhusiano wa familia na watu wa karibu. Familia inaweza kukabiliana na upinzani au kutokuwepo kwa uelewa kutoka kwa ndugu au marafiki.

Changamoto za Kisheria na Utawala: Mchakato wa kuasili mtoto unahitaji kukidhi taratibu za kisheria na utawala, ambazo zinaweza kuwa ngumu na kuchukua muda mrefu. Hii inaweza kusababisha usumbufu na wasiwasi kwa wazazi wanaotaka kuasili.

Changamoto za Kifedha: Kuasili mtoto kunahusisha gharama, pamoja na ada za kisheria, gharama za matibabu, na mahitaji ya kila siku ya mtoto. Hii inaweza kuwa mzigo wa kifedha kwa familia.

Changamoto za Kulea: Kuasili mtoto kunaweza kuja na changamoto za kulea na malezi. Kulea mtoto aliyeasiliwa kunaweza kuhitaji ustadi maalum, kujenga uhusiano wa kuaminiana, na kutatua masuala ambayo yanaweza kutokea kutokana na historia ya mtoto.
ChatGPT.
 
Kiukweli miongoni mwa mambo ambayo anashauku nayo Wema Sepetu basi ni kupata mtoto.

Wema ameshajaribu kila namna kupata mtoto lakini anaambulia patupu zaidi na zaidi alichobakisha sasa hivi ni kungojea tu kudra za Mwenyezi Mungu aweze kumbariki na yeye siku moja aitwe mama.

Lakini kiuhalisi ni ngumu sana kwa yeye kupata ujauzito ,kwanza kitendo tu cha yeye kukata utumbo ili kutengeneza figure anayoitaka yeye ni sababu tosha kwa yeye kushika ujauzito pia lifestyle analoishi na vitu vileeeeeeee anavyotumia vinazidi kuleta ugumu kwa yeye kushika ujauzito .

Sasa kitu pekee ambacho nachoweza kumshauri ni kumuasili mtoto kisheria awe mtoto wake na hilo ni jambo la kawaida sana kwa mastaa ajaribu kuangalia hata mastaa wa nje ambao waliona hawataweza kupata watoto basi waliamua kuwaasili watoto na mpaka leo wanatambulika rasmi kama watoto wao.

Kama ni starehe Wema ameshakula sana ,sasa kilichobaki ni kulea maana umri unazidi kumtupa mkono kuendelea kuishi maisha ya kisichana kunamshushia brand yake kimtindo.

Uamuzi wa kuasili mtoto ndio utakuwa uamuzi sahihi zaidi kwake kuliko kuhangaika na hiko ki Manunu na kukichukulia kama binadamu

View attachment 2808272
Mleta uzi ni mwanaume!!
 
Nini kifanyike sasa ikiwa Sheria za nchi zinaruhusu mtoto kuasiliwa?
 
Mnavyosema kajaribu kila njia hajapata mtoto.

Je kanijaribu na mimi, isiwe anakutana na watu wana matatizo,
Mshauri aje kwangu asipopata ujauzito ndio tutaamini kweli ana mushkeli, hashiki mimba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anajaribu Kwa wenzake kina Whozu
 
Watoto yatima kibao wamejaa,sio lazima kuasili mtoto mwenye wazazi wake .
Sheria inataka kufuata utaratibu wa kuasili hata kama ni yatima.Kuasili yaani adoption ni kitendo Cha kupata umiliki wa mtoto kama mzazi Kwa mujibu wa Sheria.Kumlea tu mtoto hata umpe Nini bila kufuata matakwa ya kisheria bado hawi wako.
 
Kiukweli miongoni mwa mambo ambayo anashauku nayo Wema Sepetu basi ni kupata mtoto.

Wema ameshajaribu kila namna kupata mtoto lakini anaambulia patupu zaidi na zaidi alichobakisha sasa hivi ni kungojea tu kudra za Mwenyezi Mungu aweze kumbariki na yeye siku moja aitwe mama.

Lakini kiuhalisi ni ngumu sana kwa yeye kupata ujauzito ,kwanza kitendo tu cha yeye kukata utumbo ili kutengeneza figure anayoitaka yeye ni sababu tosha kwa yeye kushika ujauzito pia lifestyle analoishi na vitu vileeeeeeee anavyotumia vinazidi kuleta ugumu kwa yeye kushika ujauzito .

Sasa kitu pekee ambacho nachoweza kumshauri ni kumuasili mtoto kisheria awe mtoto wake na hilo ni jambo la kawaida sana kwa mastaa ajaribu kuangalia hata mastaa wa nje ambao waliona hawataweza kupata watoto basi waliamua kuwaasili watoto na mpaka leo wanatambulika rasmi kama watoto wao.

Kama ni starehe Wema ameshakula sana ,sasa kilichobaki ni kulea maana umri unazidi kumtupa mkono kuendelea kuishi maisha ya kisichana kunamshushia brand yake kimtindo.

Uamuzi wa kuasili mtoto ndio utakuwa uamuzi sahihi zaidi kwake kuliko kuhangaika na hiko ki Manunu na kukichukulia kama binadamu

View attachment 2808272
Mkuu concussion yako NO, mtafute Wema Mimi nitampa mimba nikishindwa namlipa 2M labda awe ametoa kizazi
 
Mayai ka kaangia chipsi huyo ngoja akomae kwanza
 
Back
Top Bottom