Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Kwakweli BadoTuna vingi hatujasikia my wangu😁😁
🙌😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli BadoTuna vingi hatujasikia my wangu😁😁
Watoto walipo kuwa wanamtafuta yeye hakuwa mpango nao na alifanya kila alilo liweza asipate mtoto sasa ni zamu yake sasa yeye kuwatafuta hao watoto.Kiukweli miongoni mwa mambo ambayo anashauku nayo Wema Sepetu basi ni kupata mtoto.
Wema ameshajaribu kila namna kupata mtoto lakini anaambulia patupu zaidi na zaidi alichobakisha sasa hivi ni kungojea tu kudra za Mwenyezi Mungu aweze kumbariki na yeye siku moja aitwe mama.
Lakini kiuhalisi ni ngumu sana kwa yeye kupata ujauzito ,kwanza kitendo tu cha yeye kukata utumbo ili kutengeneza figure anayoitaka yeye ni sababu tosha kwa yeye kushika ujauzito pia lifestyle analoishi na vitu vileeeeeeee anavyotumia vinazidi kuleta ugumu kwa yeye kushika ujauzito .
Sasa kitu pekee ambacho nachoweza kumshauri ni kumuasili mtoto kisheria awe mtoto wake na hilo ni jambo la kawaida sana kwa mastaa ajaribu kuangalia hata mastaa wa nje ambao waliona hawataweza kupata watoto basi waliamua kuwaasili watoto na mpaka leo wanatambulika rasmi kama watoto wao.
Kama ni starehe Wema ameshakula sana ,sasa kilichobaki ni kulea maana umri unazidi kumtupa mkono kuendelea kuishi maisha ya kisichana kunamshushia brand yake kimtindo.
Uamuzi wa kuasili mtoto ndio utakuwa uamuzi sahihi zaidi kwake kuliko kuhangaika na hiko ki Manunu na kukichukulia kama binadamu
View attachment 2808272
Zipo dawa mwambieKiukweli miongoni mwa mambo ambayo anashauku nayo Wema Sepetu basi ni kupata mtoto.

Aniasili mimiKiukweli miongoni mwa mambo ambayo anashauku nayo Wema Sepetu basi ni kupata mtoto.

Nipumzishe Ma Mchungaji. Nipumzishe!
🙌🙌Jmn Mungu anarehemNipumzishe Ma Mchungaji. Nipumzishe!
Mtu alishatoa mimba lukuki. Mtu alishakunywa P2 zisizohesabika. Sijui alishakata utumbo...makemikali ya kila aina...mh!
Nipumzishe tu!
Mimi nasaidia wanaosaidika! 😁🖐🙏🏿
🤣🤣🤣Wabongo Wana ugomvi na kuasili watoto,maana watoto wa ndugu zao tu kuishi nao ni tabu tupu
Kuna kitu nilisomaga kwenye BIOS n LOGOS yaan Biology kinaitwa Rhesus FactorKiukweli miongoni mwa mambo ambayo anashauku nayo Wema Sepetu basi ni kupata mtoto
Wema anamlea Whozu ,sitaki kuongea mengi zaidi ya hapa.Kwani huyo Whozu analelewa na Wema? Nachojua Whozu ni Star na ana income yake nzuri tu. Iweje alelewe na Wema?.
Naona umeishia njiani.Kuna kitu nilisomaga kwenye BIOS n LOGOS yaan Biology kinaitwa Rhesus Factor
Leo acha niteme dini kidogo
Unapozunguzia Rhesus Factor unazungumzia Blood Groups
Sasa hapa sitaongelea indeep kuhusu Blood Groups ingawa zinajulikana zipo km hizi A, B, AB na O hizo ni blood group
Alafu kuna kitu kinaitwa 'Rhesus Factor' hii zipo mbili yaan Positive na Negative, sasa kwanini positive na kwa nini negative, Rhesus Factor ni protein kwenye damu ya mhusika, hizi protein zikiwepo basi kipimo kinasoma positive na hizi protein zisipokuwepo basi kipimo kinasoma negative
Yaan ukiona mtu ana blood group A positive au tuseme A+ huyu ana hizo protein kwenye damu yake na ikiwa A negative au A- maana huyu hana hizo protein
Hapo tushamanyana sio?
Sasa twende kwenye suala la Mama, Baba na Mtoto alafu tutaenda kwa Mama, Baba, Mtoto, Baba na Mama wa Mama na Baba yaan Bibi na Babu wa Mtoto
Inakuaje?
Kukitokea Mama ana group la damu negative yaan Rhesus Factor negative RH- akaingia kwenye Ndoa na Baba mwenye group la damu positive yaan Rhesus Factor positive RH+ alafu Mama akashika mimba mtoto akiwa tumboni mwa Mama akawa ni RH+ yaan kachukua damu ya Baba kwa mtoto wa kwanza haitokua na madhara mtoto atazaliwa salama Ila wakati wa mtoto kuzaliwa damu ya Mama na damu Mtoto zikichanganyika basi mwili wa Mama utaanza kutengeneza kinga dhidi ya RH+
Hivyo basi kwa kua Mama ni RH- na Mwili wake umetengeneza Kinga dhidi ya RH+ basi akishika mimba zote ambazo ni RH+ watoto watashambuliwa na Kinga ya Mwili wa Mama na watakufa na mimba itatoka
Ushaelewa hapo lakini?
Lakini ikitokea kwamba Mama mwenye RH- ameshika mimba mtoto akawa ni RH- basi hapo mtoto hatoweza kupata madhara yoyote
Sasa najiuliza kwa Miss Tanzania wa back in the days ni nini tatizo na sidhani km kuna kinachoshindikana Ila tu ni kuamua km akiamua kupata mtoto anapata kuna procedure za kufuata km zile za kupunguza Mwili inawezekana sayansi imefanya maajabu mengi sana kwenye dunia ya Sasa,. Mpaka Wanaume wanapandikizwa uume atashindwa kupandikizwa mfuko wa mimba kweli akapandikizwa Mbegu akaibeba mimba hadi akajifungua? Sidhani
Wewe wazazi wako wanavipato kama hao uliowataja?Rejea Angel jolie na Brad Pitt🤣🤣
Vipato vyao
Laana ya Kanumba inamtafuna.Watoto walipo kuwa wanamtafuta yeye hakuwa mpango nao na alifanya kila alilo liweza asipate mtoto sasa ni zamu yake sasa yeye kuwatafuta hao watoto.
Unataka kulelewa?A
Aniasili mimi
Watoto wa ndugu zao ni wa ndugu zao ila watoto wakuwaasili ni wao.Wabongo Wana ugomvi na kuasili watoto,maana watoto wa ndugu zao tu kuishi nao ni tabu tupu
Hizo sindano ndio zipo unachomwa kwa masaa kabla na baada, masaa 72 baada ya kujifungua Mama inabidi apigwe hio sindano ya kuzuia Mwili kutengeneza kinga ya kuzuia mtoto mwingine atakaezaliwa akiwa na RH+ kushambuliwa na Kinga ya Mwili ya Mama na hatimae kufa na Mimba kutokaNaona umeishia njiani.
Ili somo lako likamilike ilibidi uwaambie pia kuhusu sindano za anti D .
Aliisha ikarabati India. Sasa hivi ni full mnatoHivi 'k' ya wema si imeishalegea sana! Kwasababu imeishatembea kilometa nyingi!
Una sababu za kitoto sana.Hizo sindano ndio zipo unachomwa kwa masaa kabla na baada, masaa 72 baada ya kujifungua Mama inabidi apigwe hio sindano ya kuzuia Mwili kutengeneza kinga ya kuzuia mtoto mwingine atakaezaliwa akiwa na RH+ kushambuliwa na Kinga ya Mwili ya Mama na hatimae kufa na Mimba kutoka
Sindano hio inalipiwa hospitalini kila sindano ni 180,000/- mpaka 300,000/- na anachomwa wiki ya 28, wiki ya 32 na masaa 72 baada tu ya Mama kujifungua
Kwa maana hio ukitumia sindano za 300,000/- Ina maana utatumia si chini ya 900,000/- na ukitumia sindano ya 180,000/-ina maana utatumia si chini ya 540,000/-
Sasa km Wema ni RH- na watoto anaopokea ni RH+ basi atafute Mwanaume ambae ni RH- mwenzake ili aweze kupata mtoto bila hivyo ni atakua anatwanga maji kwenye kinu inaonekana wanaume wote wanaompa mimba ni RH+ mtoto akiingia na yeye akiwa RH+ Kinga ya Mwili wake inamuangamiza anakufa mimba inatoka