Wema Sepetu, nakushauri fanya maamuzi ya kuasili mtoto

Watoto walipo kuwa wanamtafuta yeye hakuwa mpango nao na alifanya kila alilo liweza asipate mtoto sasa ni zamu yake sasa yeye kuwatafuta hao watoto.
 
Zipo dawa mwambie
Amuone Shimba ya Buyenze ampe dawa
Eti kaka angu si inawezekana ukamsaidia azae
 
A
Aniasili mimi
 
Zipo dawa mwambie
Amuone Shimba ya Buyenze ampe dawa
Eti kaka angu si inawezekana ukamsaidia azae
Nipumzishe Ma Mchungaji. Nipumzishe!

Mtu alishatoa mimba lukuki. Mtu alishakunywa P2 zisizohesabika. Sijui alishakata utumbo...makemikali ya kila aina...mh!

Nipumzishe tu!

Mimi nasaidia wanaosaidika! πŸ˜πŸ–πŸ™πŸΏ
 
Nipumzishe Ma Mchungaji. Nipumzishe!

Mtu alishatoa mimba lukuki. Mtu alishakunywa P2 zisizohesabika. Sijui alishakata utumbo...makemikali ya kila aina...mh!

Nipumzishe tu!

Mimi nasaidia wanaosaidika! πŸ˜πŸ–πŸ™πŸΏ
πŸ™ŒπŸ™ŒJmn Mungu anarehem

Kwani kukata utumbo Kuna shida gani?
Mbona ray c kazaa jmn?
Maana hawana tofauti kihivyo
 
Kiukweli miongoni mwa mambo ambayo anashauku nayo Wema Sepetu basi ni kupata mtoto
Kuna kitu nilisomaga kwenye BIOS n LOGOS yaan Biology kinaitwa Rhesus Factor

Leo acha niteme dini kidogo

Unapozunguzia Rhesus Factor unazungumzia Blood Groups

Sasa hapa sitaongelea indeep kuhusu Blood Groups ingawa zinajulikana zipo km hizi A, B, AB na O hizo ni blood group

Alafu kuna kitu kinaitwa 'Rhesus Factor' hii zipo mbili yaan Positive na Negative, sasa kwanini positive na kwa nini negative, Rhesus Factor ni protein kwenye damu ya mhusika, hizi protein zikiwepo basi kipimo kinasoma positive na hizi protein zisipokuwepo basi kipimo kinasoma negative

Yaan ukiona mtu ana blood group A positive au tuseme A+ huyu ana hizo protein kwenye damu yake na ikiwa A negative au A- maana huyu hana hizo protein

Hapo tushamanyana sio?

Sasa twende kwenye suala la Mama, Baba na Mtoto alafu tutaenda kwa Mama, Baba, Mtoto, Baba na Mama wa Mama na Baba yaan Bibi na Babu wa Mtoto

Inakuaje?

Kukitokea Mama ana group la damu negative yaan Rhesus Factor negative RH- akaingia kwenye Ndoa na Baba mwenye group la damu positive yaan Rhesus Factor positive RH+ alafu Mama akashika mimba mtoto akiwa tumboni mwa Mama akawa ni RH+ yaan kachukua damu ya Baba kwa mtoto wa kwanza haitokua na madhara mtoto atazaliwa salama Ila wakati wa mtoto kuzaliwa damu ya Mama na damu Mtoto zikichanganyika basi mwili wa Mama utaanza kutengeneza kinga dhidi ya RH+

Hivyo basi kwa kua Mama ni RH- na Mwili wake umetengeneza Kinga dhidi ya RH+ basi akishika mimba zote ambazo ni RH+ watoto watashambuliwa na Kinga ya Mwili wa Mama na watakufa na mimba itatoka

Ushaelewa hapo lakini?

Lakini ikitokea kwamba Mama mwenye RH- ameshika mimba mtoto akawa ni RH- basi hapo mtoto hatoweza kupata madhara yoyote

Sasa najiuliza kwa Miss Tanzania wa back in the days ni nini tatizo na sidhani km kuna kinachoshindikana Ila tu ni kuamua km akiamua kupata mtoto anapata kuna procedure za kufuata km zile za kupunguza Mwili inawezekana sayansi imefanya maajabu mengi sana kwenye dunia ya Sasa,. Mpaka Wanaume wanapandikizwa uume atashindwa kupandikizwa mfuko wa mimba kweli akapandikizwa Mbegu akaibeba mimba hadi akajifungua? Sidhani
 
Kwani huyo Whozu analelewa na Wema? Nachojua Whozu ni Star na ana income yake nzuri tu. Iweje alelewe na Wema?.
Wema anamlea Whozu ,sitaki kuongea mengi zaidi ya hapa.

Ila kiufupi ukiwa na Wema hakikisha waleti inasoma vizuri kinyume na hapo uwe tu mvumilivu maana yeye muda wote simu ya madanga zinaingia.
 
Naona umeishia njiani.

Ili somo lako likamilike ilibidi uwaambie pia kuhusu sindano za anti D .
 
Naona umeishia njiani.

Ili somo lako likamilike ilibidi uwaambie pia kuhusu sindano za anti D .
Hizo sindano ndio zipo unachomwa kwa masaa kabla na baada, masaa 72 baada ya kujifungua Mama inabidi apigwe hio sindano ya kuzuia Mwili kutengeneza kinga ya kuzuia mtoto mwingine atakaezaliwa akiwa na RH+ kushambuliwa na Kinga ya Mwili ya Mama na hatimae kufa na Mimba kutoka

Sindano hio inalipiwa hospitalini kila sindano ni 180,000/- mpaka 300,000/- na anachomwa wiki ya 28, wiki ya 32 na masaa 72 baada tu ya Mama kujifungua

Kwa maana hio ukitumia sindano za 300,000/- Ina maana utatumia si chini ya 900,000/- na ukitumia sindano ya 180,000/-ina maana utatumia si chini ya 540,000/-

Sasa km Wema ni RH- na watoto anaopokea ni RH+ basi atafute Mwanaume ambae ni RH- mwenzake ili aweze kupata mtoto bila hivyo ni atakua anatwanga maji kwenye kinu inaonekana wanaume wote wanaompa mimba ni RH+ mtoto akiingia na yeye akiwa RH+ Kinga ya Mwili wake inamuangamiza anakufa mimba inatoka
 
Una sababu za kitoto sana.

Mara ya mwisho Wema kushika mimba alishika mimba ya Kanumba, na nafikiria mpaka Jumbe pia aliwahi kubeba mimba yake akaitoa.

Diamond Platnumz pia kuna tetesi Wema alitoa mimba yake pia.

Zaidi na hapo hakuwahi tena kubeba mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…