Na akijifungua atuletee DNA kama anavyodai ya mwenzie.poor idris mtoto wa 1993 kuparamia vibibi asalalee..
Wewe msichana una maneno machafu...sijui hata uyo mwanaume uliyenae yupoje maana kwa maneno ayo uliyoandika mmh.ila kumbuka hujafa hujaumbika lara 1 na mungu anakuona na kukuckia ayo maneno machafu unayotoa
hahahahahaaaaaaaaaa! Nishasema Kikongweeeeeee ni MAMBA YETU KWENYE KUZAAAA, HATA JF HAMNA ANAEMPATA. Chezea kuzaa mpaka na mwanao? Loooooooooo!Usikute mama ubaya muongo, hana cha kutoa mimba wala nini, aseme tu kuwa kizaz chake bahati mbaya, sio kila mwanamke lazima aitwe mama so yeye atulie tu ashuhudie wanawake wa shoka kama akina zari wakiingia leba kuzaa maana yeye huo uwezo hana, hahaahahaha shahaha poleee
Kuzaa zaa hovyo? ni aibu sana kwa mwanamke kutumia maneno ya kudhalilisha wenyewe.
Alafu mkikaa vikao vyenu, mkitoka mnalia kuwa mchawi wenu ni MWANAUME.
Nyie jidhalilisheni wee....sie tupo tu pembeni tunaangalia.....usidhani tutawaonea huruma, wala. Mwanaume ni yule yule, wa jana leo na kesho, kazi kwenu.
Mkikosa matusi ya wanaume mnaamua kujitukana wenyewe....sie twawaangalia tu....mkituambia leo kanga moko wapo hapa...kiingilio shilingi kadhaa...tunafurika kuwaangalia.
kweli.........WANAWAKE MNAWEZA....
Na ukimbeza mwanamke anayezaa kumbuka na kuwapongeza WANAOCHOROPOA.
hivi huko shuleni mnaenda kusomea ujinga? By Faiza FoxNyie mna zaa KIMAKOSA sasa. Maana si mnajua tena Vitabu vilivosemaaaa. Kudate dhambi inaishia kwako,ukitoa mimba dhambi inaishia kwako, ukizaa IMAHAMIA KIZAZI KINGINEEEEEEEE. Sasa yule anaezaliwa hana kosa, wala mchango kwenye blander zakooooo. Anakuja kupata tabu tu, kuuliza mbona baba hayupo? Baba yangu nani? Mbona hatushi na baba kama watoto wengine? Mnanichokoza wenyewe lakini, nikisemaa mnakimbilia kunilaani. Oooooh!
Kila mwanadamu napenda kuwa na familia.kama maisha mazuri anayo kama siya kuigiza lakini.maana huyu nae ni maskini lakini anapenda kujitutumuaaaaa