Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Mume si mchezo umri umeenda na mwili unabongonyoka kama udongo nilipo mtoa thamani eti idrisa ndo wakumzalia jamani
 
lara1 umekimbia umbea wako bibi mzima unashauri baada ya kujishsuri.


swissme
 
Sasa kama anamsimamo wa uongo tumuangalie tu nastori zake za kutunga anajidai anataarifa za wema kumbe matatizo matupu na anachoongea aise.ndio upuuuuupu
 
Naona lara mamy umekua star ghafla insta

Kwa nani niende nikajicomment! Afu ndotatizo lenuuu, mambo tunaongea hukuuu, mshayakimbizaa.WATACHAMBA LEO MPAKA MAKALIO YATAWABAKI WAZI. HAHAHAAAAAAAAAAAAAA!
 

Hiiiiiiiiiii! Yupo china ya wazazi wake, akifa Eee Mungu epushia mbali kabisaaa atazikwa na ndugu zake. Ingekuwa katolewa mahari, au kaolewa tungesema AMEUZWA AU KUKABIDHIWA UKOO MWINGINE KIMILA NA DESTURI. Lakini sahivi hata akizaa mtoto ni wa kwao na nduguze.

Si mlisema akiachwa na Dai hatopata wa kudate? Nyooooooooooo! HUYO KLYN KAZAA NA MIAKA MINGAPI?
 
Wema achekeche ushauri, aamue mwenyewe
1. Asilimia kubwa ya wanawake hata wakiwa kwenye ndoa ni single mothers
2. Hayo mayai yana expiry date. (Nadhani quality inapungua kidogo kidogo)
3. Mungu akimjalia, waswahili wanasema azae hata mmoja wa dawa.

Mxiuuuuuuuuuu! Kwa hio mtu akinya barabarani ndo na Wema anye? Hao single mother wanavokuwa watumwa kwenye ndoa siri sasa? Mtoto anavobaguliwa je? Yule sio babake, alikuja nae, sio damu yetu, ndo maisha ya kulea mtoto sasa?

Walizaa kina Beyonce na 30 itakuwa Wema?

Ataa 20 Mungu Mkubwa siku zotee ila KWENYE NDOA
 
Sasa kama anamsimamo wa uongo tumuangalie tu nastori zake za kutunga anajidai anataarifa za wema kumbe matatizo matupu na anachoongea aise.ndio upuuuuupu

Tena boraa umezungumzia Story, KESHO KAMA KAWAIDA KITU CHA DIASPORA KINAENDA LIVE. Sasa hutaki kwamba nina taarifa za Wema au? Matatizo si yangu, nishakuja kukuomba unisadie senti 5 kipande yako? Nimeridhika mie na shida zangu.
 
lara1 umekimbia umbea wako bibi mzima unashauri baada ya kujishsuri.


swissme

Nikimbilie wapi? Mi hapa kwangu na NATAMBA UWANJA MZIMA kama kawaida.
 
dada yangu nikwambie kitu,umejishushia sana heshima kuongelea maisha ya watu,nimekudharau sana
 
At least unakubali kama unashida

NINA SHIDA MPAKA MAKALIONI ZIKINIZIDI HUWA ZINA NI NYOSOOOO! Shida tuuuuu, hapa ndo HQ. Heri yako wewe usiekuwa na shida umejaa miraha teleee. Aliekupa wewe hio miraha ndo kanige mie hii mishida. KWANI KUNA TATIZOOOOOOOOO?


Ila WEMA HAZAI NJE YA NDOA NGOOOOOO!
 
dada yangu nikwambie kitu,umejishushia sana heshima kuongelea maisha ya watu,nimekudharau sana
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Kwani ulipokuwa unaniheshimu nilipata nini kwa mfano? Na baada ya kunidharau nimepungukiwa nini kwa mfano labda? Mmmmmmh!
 
Mume si mchezo umri umeenda na mwili unabongonyoka kama udongo nilipo mtoa thamani eti idrisa ndo wakumzalia jamani

UJANJA SIO KUWAHI, UJANJA KUPATAAAAAAAA! Msitake nikumbushe mambo yenu ya KUFUGA MABWANA MADAI YENU WAUME. HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! HALOOOOOOOOOOOO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…