Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

lala 1 bhana, sasa kama Diamond nae ni mtoto na wale wanaochezaga halaiki pale Uwanja wa Uhuru sijui tuwaitaje! Au na wewe unataka kujifanya Mama Salma JK wakati huku kitaa tunafahamu fika kwamba mtoto wa mwenzako ni mkubwa mwenzako!!

HAHAHAAAAAAAAAA! AMA KWELI MTOTO WA MWENZIO MKUBWA MWENZIO! Nibemendeeeeee, nipelembeeeeeeee, nipwelepweteeeeee, najuuuuuuuuuuuta kukufahamu ulie comment.
 
Lara naona insta page ya udaku wamekupa kiki

Nitajie ID kamili NIKAJITETE MAANA NITAKUWA NACHAMBWA NA GUNZI! Hahahaaaaaaaaa! Instagrammers can be BRUTAL!
 
UJANJA SIO KUWAHI, UJANJA KUPATAAAAAAAA! Msitake nikumbushe mambo yenu ya KUFUGA MABWANA MADAI YENU WAUME. HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! HALOOOOOOOOOOOO!
wewe kweli ni lishangazi poa.

swissme
 
Kwa nani niende nikajicomment! Afu ndotatizo lenuuu, mambo tunaongea hukuuu, mshayakimbizaa.WATACHAMBA LEO MPAKA MAKALIO YATAWABAKI WAZI. HAHAHAAAAAAAAAAAAAA!
Hahahha uwiiiii mwenyew nilivyoona nimeshangaa! Nenda kwa udaku_special naona yeye ndyo kaanzisha insta
 
Nitajie ID kamili NIKAJITETE MAANA NITAKUWA NACHAMBWA NA GUNZI! Hahahaaaaaaaaa! Instagrammers can be BRUTAL!
Hii hapa.....
 

Attachments

  • 1453402779392.jpg
    40.6 KB · Views: 30
  • 1453402876191.jpg
    42.9 KB · Views: 31
UJANJA SIO KUWAHI, UJANJA KUPATAAAAAAAA! Msitake nikumbushe mambo yenu ya KUFUGA MABWANA MADAI YENU WAUME. HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! HALOOOOOOOOOOOO!
Hahaha we kiboko aisee ulivyojitoa akili kumchamba kila mtu maskini wema aombi ndoa ye anataka mtoto mtu anamuombea ndoa kwani wema alikwambia anataka mume ye kasema anataka mtoto kah
 
kapata lakini wote sio level zake angalia kina faraja now wanakula mema ya nnchi bila stress atleast huyo sultan ana kastatus flan lakini kwa luisi alibug na akajishtukia azae tu na sultan maana akishindwa hapo atakuja kuzaa na wanenguaji kama mama. fudenge
 
lara 1, Purple hapa is amazed with your confidence... kwamba watu wanakupa vichambo lakini we upo tu! Inaelekea hafahamu kwamba ulizaliwa hospitali ya Mwananyamala tena alfajiri ya weekend! Dakika unazaliwa, maneno ya kwanza kuyasikia ni ya manesi wakiwapa vichambo akina mama waliokuwa leba-- na anaezaliwa mwenyewe mtoto wa kike!!!
 
 
Ee

Wema ana make impact kwny industry ipi kwa mfano,movie??pls zipii hizo,
Mana nachoona mjini hapa anauza.... tu
Walau zari ana biashara ya chuo South Africa na mumewe na maduka,
Ntajie source of income ya wema tafadhali
Na mumewe tena?? Ana wanaume wangapi huyo zari
 
Akatoe haraka sanaaaaa. Awaache waswazi washindane kuzaaaaa. Yeye mtoto wa balozi bwanaaaa, she should have morals, AZAE ATAKAPO OLEWA KAMA DINI YAKE YA KIISLAMU INAVOAGIZAAAA.
Kwa hiyo dini yake ya kiislamu inaagiza watu wasizae nje ya ndoa, lakini ruksa kutoa mimba? umepotea mwelekeo....
 
Zari kweli yupo juu sababu bado anaonewa wivu sana, duh.
 

Attachments

  • 1453416025725.jpg
    50.3 KB · Views: 30
Akatoe haraka sanaaaaa. Awaache waswazi washindane kuzaaaaa. Yeye mtoto wa balozi bwanaaaa, she should have morals, AZAE ATAKAPO OLEWA KAMA DINI YAKE YA KIISLAMU INAVOAGIZAAAA.
Hivi kuna mwanaume mwenye akili zake timamu anaweza kumuoa Siwema?
 
Halafu wema tayari yupo kwenye 30's ni
kibibi hicho
Miss Tz 2006 mpaka leo ni miaka 10,wakati ule alikua na 20.lakini mpaka leo hasemi miaka yake
 
Wee mshauri mwenzako vibaya, kwanza wewe ushazaaa ? Nyie ndio wahun wenyewe wa mjini mnazani mtakuwa vijana milele miaka inaenda wazuri wanazaliwa bado mwaka mmoja na nyie tuwaite mabibi. Mwenzenu kazaa lakini mzuri zaidi yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…