Wema Sepetu: Wanaoniponda wengi wao wanatumia Tecno na Huawei

Wema Sepetu: Wanaoniponda wengi wao wanatumia Tecno na Huawei

Hajui anachokisema, angezijua asingethubutu !! Mbona hata hizo Samsung kuna zile za bei cheee na zina internet !!! Ana uhakika gani kuwa wote anaowasema wanatumia hizo anazosema !!!
 
Kwa kweli huawei na tecno ni kitu kimoja sema wamebadilisha jina tu..yani ni sawa na phillips nchi nyingine inaitwa Aristona, ikiwa kwengine inaitwa Erres..Hiyo ni uholanzi, ubelgiji na sijui wapi huko...hahahahahah woooozaa...bora niko na m-hello motoooo...wangu freshh...!!
 
Ni shiiider...watu wanataka kumiliki kila toleo jipya la simu ...kisa nini? status...wenye makampuni wanazidi kutajirika...masikini wanashindania ujinga...

Nilimpenda Kansiime alokuwa anamuuliza mwenzie anayetaka kumuuzia simu bei sawa na ya plot...hiyo simu ina nini mpaka inakuwa that expensive...eti kuna WIFI...anamuuliza ya nini na mie nataka kupiga na kupokea? punguza bei sitatumia WIFI...

Same applies here...hivi hayo ma function yoote sijui google earth sijuhi map kwa bongo kuna address kuwa ukipotea ikusaidie?????

Kuwa star ni shida sana...hawa watoto wakikosa wa kuwahonga lazima watafute madawa ya kulevya...maana hawako tayari kuonekana ni wa maisha ya chini...
 
Mpuuzi huyo Wema.......hajui cm aache kuropoka.

yaani nimekuvumilia nimeshindwa kila unachochangia naona kama unaniiga yaani naona mawazo yetu kwa kiasi fulani kidogo yanafanana keep it up dada
 
KwNi uongo?? Galaxy utafanansha na tecno?? Kwa taarifa yenu tecno ni za africa tu..mbele hawazitambui
 
kaongea wap? achen.kumchukia mtu kias hko..

Sijawahi kuanzisha thread ambayo ni ya kumsingizia mtu,nilimsikiliza kwa makini kwakuwa nina idea na uhandishi ndio maana nime-edit ila yeye alisema Vi-Tecno na Vi-Huawei(More than dharau),aliyasema hayo Tarehe 19 September 2014 ndani ya jahazi kama unajuana na watu wa Clouds FM waambie wakusikilizishe ile interview.
 
mobile-phone-40-year-anniversary-9.jpg

bora mi nalog in na philips .........

Grand PA
 
Back
Top Bottom