Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Co kosa lake utumwa wa umagharibi na kuiga iga ovyo ndo vinamtafuna.
Hamjiulizi wakat anahojiwa akajifanya hajui kiswahili vzr
Mpuuzi huyo Wema.......hajui cm aache kuropoka.
Mi nimelog in humu na tecno, napita tu!
KwNi uongo?? Galaxy utafanansha na tecno?? Kwa taarifa yenu tecno ni za africa tu..mbele hawazitambui
kaongea wap? achen.kumchukia mtu kias hko..