Wenda ndo yeye ameandaliwa kutuongoza Ana ufanano na aliyetangulia mbele ya haki Ila huyu anafuata sheria

Wenda ndo yeye ameandaliwa kutuongoza Ana ufanano na aliyetangulia mbele ya haki Ila huyu anafuata sheria

Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7,

1. Hapendi Rushwa
2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe
3. Anafuata sheria
4. Hana Kona kona

5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake kuachia uenyekiti kuna madudu mengi anaogopa yasijulikane,

Mfano ya kule shambani hai, kimya kimya haya anayajua God lema ndo maana Lema baada ya press ya kampeni walisinyaa na kutishia watakaombishia anapiga penyewe sasa!

6. Ameweza yasiyowezekana na ataiweza CCM

Pitia pia

View attachment 3365208


Britanicca
Aje tu atuongoze tumechoka watu kufanya Taasisi ya urahisi ni urithi kwa familia fulani😁
 
Hatukatai kwa sasa Ila ya Mungu Mengi hapo July July ukashangaa anayeambiwa ameomba kustaafu analazimika kuongoza 😎

Britanicca
Na hata kwenye kuahirisha bunge hakuwepo kitu kimetupa maswali!
 
Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7,

1. Hapendi Rushwa
2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe
3. Anafuata sheria
4. Hana Kona kona

5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake kuachia uenyekiti kuna madudu mengi anaogopa yasijulikane,

Mfano ya kule shambani hai, kimya kimya haya anayajua God lema ndo maana Lema baada ya press ya kampeni walisinyaa na kutishia watakaombishia anapiga penyewe sasa!

6. Ameweza yasiyowezekana na ataiweza CCM

Pitia pia

View attachment 3365208


Britanicca
Mmemponza kuvujisha siri mapema. Ona sasa.
 
Back
Top Bottom