Wenda ndo yeye ameandaliwa kutuongoza Ana ufanano na aliyetangulia mbele ya haki Ila huyu anafuata sheria

Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7,

1. Hapendi Rushwa
2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe
3. Anafuata sheria
4. Hana Kona kona

5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake kuachia uenyekiti kuna madudu mengi anaogopa yasijulikane,

Mfano ya kule shambani hai, kimya kimya haya anayajua God lema ndo maana Lema baada ya press ya kampeni walisinyaa na kutishia watakaombishia anapiga penyewe sasa!

6. Ameweza yasiyowezekana na ataiweza CCM

Pitia pia

View attachment 3365208

Britanicca
🚮🚮

View: https://www.instagram.com/p/DK-P8nJiQoS/?igsh=c3FoZHJ0NjZ2dHow
 
Yeah
Chawa nawaambia Kila wakati watunze pesa vzr hawaelewi
Hawa watu hawanaga hata aibu, watu wanasombwa kama mifugo ili ionekane mikutano ina watu.
 
Attachments

  • 20250617_124722.jpg
    20250617_124722.jpg
    517.4 KB · Views: 21
Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7,

1. Hapendi Rushwa
2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe
3. Anafuata sheria
4. Hana Kona kona

5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake kuachia uenyekiti kuna madudu mengi anaogopa yasijulikane,

Mfano ya kule shambani hai, kimya kimya haya anayajua God lema ndo maana Lema baada ya press ya kampeni walisinyaa na kutishia watakaombishia anapiga penyewe sasa!

6. Ameweza yasiyowezekana na ataiweza CCM

Pitia pia

View attachment 3365208

Britanicca
Tundu Lissu ndiye MFALME WETU ajaye
 
“Karma is a Bitch”

You get what you give.

Ndio akome matusi yake kwa JPM aliyokuwa anatumwa na wazungu.
 
Hatukatai kwa sasa Ila ya Mungu Mengi hapo July July ukashangaa anayeambiwa ameomba kustaafu analazimika kuongoza 😎

Britanicca
Hali ni mbaya akina Amos makala wamemchuuza mama wao anawapa mabilioni wanagawana kazi ni kumchonganisha na chadema tu ili wapate kisingizio cha kula pesa kisha mama akiharibu zaidi wamwengue kwenye mbio za Urais
 
Mbona hilo liko wazi. Hatta mleta mada analijua vizuri tu. Anachokifanta Sasa ni kuwafariji chadema chakavu Ili waendelee kumwaga tone tone 😋😋😋
Uchakavu upi? Kuna Ulingo sawa pambano la ndondi? Bondia wa chadema kafungwa mikono kanyimwa chakula luzuku kanyinywa uwanja wa mazoezi yaani mikutano na Bondia wa ccm yupo huru na Refa na wasimamizi ni ccm hapo kuna Ulingo sawa?
 
Mkuu Britannica ni kama kadri tunavouelekea uchaguzi ni kama July July inaonekana haitakuwa na kitu.

Hakuna dalili za lolote kutokea mkuu tuelekezee wapi matumaini yetu.

Maana mkuu wa nchi ni kama anachamba watu majukwaani kwa kujiamini na kusema awachague baadhi ya watu kwenye nafasizake 10.
 
Give time its time.
 
Hahahahaha...umeambiwa kuanzia july na kuendelea huko..inaeza hata ikafika december
 
Mkuu Britannica ni kama kadri tunavouelekea uchaguzi ni kama July July inaonekana haitakuwa na kitu.

Hakuna dalili za lolote kutokea mkuu tuelekezee wapi matumaini yetu.

Maana mkuu wa nchi ni kama anachamba watu majukwaani kwa kujiamini na kusema awachague baadhi ya watu kwenye nafasizake 10.
Kuwa mtulivu mkuu. Ushawahi kuwinda chochote?
 
Back
Top Bottom