Wenda ndo yeye ameandaliwa kutuongoza Ana ufanano na aliyetangulia mbele ya haki Ila huyu anafuata sheria

Wenda ndo yeye ameandaliwa kutuongoza Ana ufanano na aliyetangulia mbele ya haki Ila huyu anafuata sheria

===
Kama Kuna kosa tutafanyia ni kumuweka 'Chamwino' mtu ambaye anaamini wazungu ndiyo msingi wa maendeleo yetu na si sisi wananchi wenyewe! Ama yule anayeamini wazungu ndiyo pekee Wana nyenzo na upendo usiotiliwa mashaka wakutusaidia kiuchumi na kiteknolojia ili tuendelee Hata kuwapita wao hatua waliyofikia.

Litakuwa kosa kubwa, na hatutaweza kujinasua kutoka kwenye makucha ya ukoloni mambo Leo.
 
Ni heri tumuweke anaeamini wazungu kuliko anaeamini waarabu na kuwauzia mali zetu
 
Huyu mleta uzi sio wa kubishana nae anaelewa sana vitu, sasa hivi kaja mikito tofauti sana. Heri iwe hivi tuondokane na huyu Ajuza.
kweli tofaut sana.huwa sio mambo yake haya ya utabir sijui.
 
Mkuu, habari za Ohio Street au ulikwishahama?

Huyu mheshimiwa,

1. CV imeshiba

2. Profile imetulia.

3. Walomjaribu wakati ule (wa Covid) waliona ana nyota kali.

4. Basilica approved.

5. Bado title yasimama kule WB kama mchumi mwandamizi.

6. 2015- 2020 umahiri wake ulionekana uchumi ulipaa kutoka 6 hadi 7% na nchi ikatangazwa kuingia uchumi wa kati na WB wenyewe (kwani watambua kazi zake).

Na mengineyo mengi tu khasa kutokana na mtandao wake wa kiuchumi na ubobezi wake.

Niishie hapo.
..ni mtu wa hovyo kuwahi kutokea kwenye hiyo nafasi..elimu ya makaratasi haina msaada wowote kwa nchi..tiss ndio wanataka watu km huyu rahusi kushika masikio na kupeleka wanakotaka..limbukeni wa madaraka!
 
Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7,

1. Hapendi Rushwa
2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe
3. Anafuata sheria
4. Hana Kona kona

5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake kuachia uenyekiti kuna madudu mengi anaogopa yasijulikane,

Mfano ya kule shambani hai, kimya kimya haya anayajua God lema ndo maana Lema baada ya press ya kampeni walisinyaa na kutishia watakaombishia anapiga penyewe sasa!

6. Ameweza yasiyowezekana na ataiweza CCM

Pitia pia

View attachment 3365208

Britanicca
That arrest at Mbinga Region, some religious People interpreted as an Emergency Rescue for Future use. Now that He is Safe and well protected.
 
Back
Top Bottom