Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Mkuu Mtoto wa Shule basi jiandae kuzikwa.....maana haya lazma yatimieBaada ya mimi kufariki labda ndio anaweza akawa Rais.
Mkuu Mtoto wa Shule basi jiandae kuzikwa.....maana haya lazma yatimieBaada ya mimi kufariki labda ndio anaweza akawa Rais.
Hapo kwenye July July mbona patamu sana, nitachinja mbuzi wangu wawili wa kipakistani tujirushe na wanangu wa kitaa, kuondokewa na subiani mnyonya damu siyo jambo dogo.Hatukatai kwa sasa Ila ya Mungu Mengi hapo July July ukashangaa anayeambiwa ameomba kustaafu analazimika kuongoza 😎
Britanicca
Sawa. Usisahau kuhudhuria mazishi yangu.Mkuu Mtoto wa Shule basi jiandae kuzikwa.....maana haya lazma yatimie
Dkt wa kaswende yako sugu?Rais ni Dkt.Samia
HahahaSawa. Usisahau kuhudhuria mazishi yangu.
Ahahahahaha!!Hahaha
Hiyo siku najiandaa nifanye kitu kimoja cha ajabu Nchi nzima itasimama.Yani siku lisu akiwa Rais naeza nikachanganyikiwa jamani..Mchi itagubikwa na furaha isiyoelezeka!
Unajua Tz tangia tupate uhuru atujawai kua na furaha na Mungu anasikia maombi yetu nakuambia siku ya furaha inakujaaaHapo kwenye July July mbona patamu sana, nitachinja mbuzi wangu wawili wa kipakistani tujirushe na wanangu wa kitaa, kuondokewa na subiani mnyonya damu siyo jambo dogo.
Amiina aminaUnajua Tz tangia tupate uhuru atujawai kua na furaha na Mungu anasikia maombi yetu nakuambia siku ya furaha inakujaaa
Mungu yuko macho 24/7 furaha ya Watanganyika haiko mbali mbali.Unajua Tz tangia tupate uhuru atujawai kua na furaha na Mungu anasikia maombi yetu nakuambia siku ya furaha inakujaaa
AmeeniMungu yuko macho 24/7 furaha ya Watanganyika haiko mbali mbali.
Britanicca bado umehold hii position!!!!Hatukatai kwa sasa Ila ya Mungu Mengi hapo July July ukashangaa anayeambiwa ameomba kustaafu analazimika kuongoza 😎
Britanicca
Huyu mpiga udaku tu usimwamini sanaBritanicca bado umehold hii position!!!!
MichamboDkt wa nini
Doctor Honoris CausaDkt wa nini
Kweli ni Kausa.Doctor Honoris Causa