Wenda ndo yeye ameandaliwa kutuongoza Ana ufanano na aliyetangulia mbele ya haki Ila huyu anafuata sheria

Wenda ndo yeye ameandaliwa kutuongoza Ana ufanano na aliyetangulia mbele ya haki Ila huyu anafuata sheria

Huyu mpiga udaku tu usimwamini sana
Kila mpinzani anatamani upinzani uchukue nchi, lakini uhalisia ni kwamba CCM bado wana chaguzi labda 3 - 4 za kushinda bila stress kabisa (refer mikutano ya Katibu mkuu kondoa, bukene na mingine ambayo haikuwa makao makuu - ukizingatia pia upinzani unapoteza ngome muhimu ya Dar es Salaam) .. katika miaka hiyo Upinzani unatakiwa uendeleze the same mommentum, ukishindwa kufanya hivyo miaka itazidi kwenda mbele. Na kwa hoja ya mtoa mada hat kama july july likitokea jambo na akastaafu, CCM ndio itashinda kwa ulaini zaidi... kwa sababu hoja za uzanzibar, bandari nk zitazikwa rasmi. Na huo ndio ukweli...
 
  • Thanks
Reactions: naa
Inaleta mantiki mno mkuu.

Ila washiriki wake sijawahi waamini watu wa bizness
 
Lissu ni kichaa.. na huko mbeleni atakuja kuvua nguo hadharani ndio mtaamini haya na muda huo mtakuwa mmeshachelewa
Unajua watu hujiita majina wanayosadiki jinsi akili zao zilivyo...We kweli ni MAVI-YA-PUNDA
 
Sawa ..ila nawaza ukombozi furaha ya kweli ya watanzania inakuja..ila "choosen one" ataweza ku reclaim kila kilichopotea ama kuuzwa...mapori, mbuga, je vipi kuhusu mikataba ya hovyo iliyosainiwa tayar ambayo unakuta duration ni miaka mingi
 
Kiukweli natamani iwe hivo,lakini sidhani kama itakua, kweli kabisa kwa kelele zote hizi mnahisi atakua amekaa kiboya tu anasubiri kutolewa? Lazima na yeye amejipanga kweli kweli.
Msishangae hiyo jully mka suprise wa nyinyi.
Kwa kifupi tusali tu Mungu aamue maana me sioni mwangaza wa hii nchi huko mbele!
 
Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7,

1. Hapendi Rushwa
2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe
3. Anafuata sheria
4. Hana Kona kona

5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake kuachia uenyekiti kuna madudu mengi anaogopa yasijulikane,

Mfano ya kule shambani hai, kimya kimya haya anayajua God lema ndo maana Lema baada ya press ya kampeni walisinyaa na kutishia watakaombishia anapiga penyewe sasa!

6. Ameweza yasiyowezekana na ataiweza CCM

Pitia pia

View attachment 3365208


Britanicca
Lema mhuni yule achana nae,Arusha kaandamanisha sana vijana watoto wake kawaficha nje,vijana wamekufa kwa ajili ya Maisha yake anatuhadaa anapigania demokrasia, Demokrasia gani?ipi hio?

Sasa familia kaiweka Canada na juzi alikua atoroke kurudi canada kwa kujifanya anaenda kucheki afya Nairobi,kashtukiwa.

Anataka atorokee Canada amuache Lisu peke yake huku,apambane
 
Hatukatai kwa sasa Ila ya Mungu Mengi hapo July July ukashangaa anayeambiwa ameomba kustaafu analazimika kuongoza 😎

Britanicca
😀😀Hizi dua zenu za kutakia viongozi vifo hataa Mungu hapendi,Ndio maana Mungu sio binadamu, binadamu akikuchukia kidogo tu anataka ufe upotee kabisa

Kiongozi anaombewa kwa Mungu aongoze nchi kwa busara na Maarifa sio kuombewa kifo kwa sababu ya Mambo yenu ya maslahi ya kisiasa.

Hatuwezi kuja ongozwa na akina lema,wapiga kelele na kichwa maji
 
Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7,

1. Hapendi Rushwa
2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe
3. Anafuata sheria
4. Hana Kona kona

5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake kuachia uenyekiti kuna madudu mengi anaogopa yasijulikane,

Mfano ya kule shambani hai, kimya kimya haya anayajua God lema ndo maana Lema baada ya press ya kampeni walisinyaa na kutishia watakaombishia anapiga penyewe sasa!

6. Ameweza yasiyowezekana na ataiweza CCM

Pitia pia

View attachment 3365208


Britanicca
Tanzania tungekuwa na wazee wenye kujua kutumia watu Lissu angefaa awe Waziri mkuu au waziri wa sheria
 
Tanzania tungekuwa na wazee wenye kujua kutumia watu Lissu angefaa awe Waziri mkuu au waziri wa sheria
Kwa mfumo huu uliopo kwasasa hakuna kiongozi anayeweza kuonyesha uwezo wake halisi wa kulisaidia Taifa. Lazima atamezwa na mfumo au atawekwa nje kwa kutoendana na mfumo. Siamini kama wote walioko madarakani uwezo wao ndio umeishia hapo, kuna wengine wanajilazimisha kuendana na mfumo kwa maslahi yao
 
Back
Top Bottom