Silas Samuel
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 873
- 628
naomba unionyeshe wewe sio mjinga Niambie kesi ya Uhaini aliofanya Lissu inauitaji upelelezi gani kama ashafikishwa rumande na mahakamani.. ushawahi kusoma katiba ya Tanzania?Shithole comment! Eti ndani ndani huyo tapeli anawatapeli nyinyi nyumbu.
mshtakiwa akifikishwa mahakamani upelelezi unapaswa uwe umekamilika Katiba naa sheria ya Tanzania inasema hivyo ndo sababu Lissu anawafanya wajinga kwa watu wanaoijua katiba ya Nchi.
samia hana nguvu ya wananchi amebakiza nguvu ya vibaraka na machawa wake ambao hawana utofauti na mbwa anaetumwa na kupewa amri bila kuuliza maswali