"Kama Magu vile", bila ile sehemu ya ukichaa wake.Sure kama Magu vile
"Kama Magu vile", bila ile sehemu ya ukichaa wake.Sure kama Magu vile
Aisee mtihani, kama tatizo ni mfumo,Kwa mfumo huu uliopo kwasasa hakuna kiongozi anayeweza kuonyesha uwezo wake halisi wa kulisaidia Taifa. Lazima atamezwa na mfumo au atawekwa nje kwa kutoendana na mfumo. Siamini kama wote walioko madarakani uwezo wao ndio umeishia hapo, kuna wengine wanajilazimisha kuendana na mfumo kwa maslahi yao
Najaribu kuvuta kumbukumbu ulikuwa wapi wakati wa Magufuli.Tuwe na rais kichaa ili iweje kweli?
Aingia yule sio mtu wa kawaida Mungu akikupa kibali hakuna wakupingabritanicca July ni kesho kutwa tu, lakihuoni nilivyo na siha njema, bashasha usoni imenijaa,
Aiseee kumbe alifanikiwa kuingia Angola?
Aisee au Lissu ni Tiss?Aingia yule sio mtu wa kawaida Mungu akikupa kibali hakuna wakupinga
Tiss na kuingia Angola hamna mfanano wowoteAisee au Lissu ni Tiss?
Maybe Tiss wa Rank ya juuTiss na kuingia Angola hamna mfanano wowote
Tafadhali sana watanzaniaHatukatai kwa sasa Ila ya Mungu Mengi hapo July July ukashangaa anayeambiwa ameomba kustaafu analazimika kuongoza 😎
Britanicca
Atoroke kwa makosa gani? Yeye ndiye anateka, kufira na kuua watu?Lema mhuni yule achana nae,Arusha kaandamanisha sana vijana watoto wake kawaficha nje,vijana wamekufa kwa ajili ya Maisha yake anatuhadaa anapigania demokrasia, Demokrasia gani?ipi hio?
Sasa familia kaiweka Canada na juzi alikua atoroke kurudi canada kwa kujifanya anaenda kucheki afya Nairobi,kashtukiwa.
Anataka atorokee Canada amuache Lisu peke yake huku,apambane
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga, yeye mbona ameteka, kufira na kuua ma mia ya watanzania?Tafadhali sana watanzania
Msiombee haya.
Uhai wa mtu ni kitu cha thamani sana.
Tuombeane maisha marefu licha ya tofauti zetu kimitazamo.
Mmh bro hiki kinge kinafanana na cha DC 😁What Dr. Is She about?
Ila kibaraka wa waarabu na mmiliki wa magenge ya utekaji, kufira na kuua ndio anakufaa, sivyo?Ni afadhali nichague jiwe kuliko kumchagua huyo dalali wa ushoga na kibaraka wa wazungu
Vipi Bosco Ntaganda ndio umeamka nini?Ila kibaraka wa waarabu na mmiliki wa magenge ya utekaji, kufira na kuua ndio anakufaa, sivyo?
Kifo kinatishaUkiua kwa upanga utakufa kwa upanga, yeye mbona ameteka, kufira na kuua ma mia ya watanzania?
Yeye unajua anasemaje 'kifo ni kifo' haoni km unamhurumia kipenzi.Kifo kinatisha
Ana mazuri yake kama binadamu na ana ndugu zake wanamhitaji.
Hawa ambao anaendelea kuwapoteza kila siku hawana ndugu? Hawasikii huo uchungu alionao yeye? Idd Amin Mama ajue tu kwamba haya mambo ya utekaji, ufiraji na mauaji ya Watanzania kuna siku ATALIPIA sawa sawa na matendo yake.Kifo kinatisha
Ana mazuri yake kama binadamu na ana ndugu zake wanamhitaji.