Hiyo haiondoi maana ya neno husika.Ni Kura sio Kula..Yale yale..arguing with the wrong person
Hiyo haiondoi maana ya neno husika.Ni Kura sio Kula..Yale yale..arguing with the wrong person
Wosia tena .Hatuhitaji kubishana sana kuhusu successor wa Magu,
Tusome tu wosia wa marehemu ulofichwa na mamlaka.
Kombe ni lako awamu hii. Hata wachukue majengo yote ya chadema wewe una jengo ambalo linaunganisha watanzania wote.Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7,
1. Hapendi Rushwa
2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe
3. Anafuata sheria
4. Hana Kona kona
5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake kuachia uenyekiti kuna madudu mengi anaogopa yasijulikane,
Mfano ya kule shambani hai, kimya kimya haya anayajua God lema ndo maana Lema baada ya press ya kampeni walisinyaa na kutishia watakaombishia anapiga penyewe sasa!
6. Ameweza yasiyowezekana na ataiweza CCM
Pitia pia
View attachment 3365208![]()
Ufanano na utofauti wa Magufuli na Lissu kwenye ngazi ya juu ya uongozi wa nchi
Tumekuwa tunawapima viongozi wetu kulingana na utendaji wao wa maeneo wanayosimamia, na kuweza kuona mazuri na mapungufu yao, Kwa mwaka 2015 yalikuwapo magwiji wawili ambao ni Magufuli na Lowassa, hapa Magufuli alionekana kumzidi Lowassa kwa kila Jambo isipokuwa mtandao na pesa, Lakin wote...www.jamiiforums.com
Britanicca
Sure kama Magu vileTanzania kwa sasa haihitaji tena kiongozi mnafikimnafiki.; mlaghai na aliyejaa hila tele.
Tunataka 'a straight/direct talker/actor'; bila ya kuweka kona kona kwenye anayo yazungumzia na kuyatenda.
Sasa hivi ni Tundu Lissu, na timu yake ya akina Heche na JJMnyika; na wengine wa aina hiyo.
Deni la taifa lafika trillion 107 hii ni hatari Sana inaitaji rais atajayebana matumizi na kulipa madeni sio kwamba nchi itakua imesimama wakati unalipa madeni hapana Hostipatali Lazima zijengwe barara zijengwe dawa hospital zifike hapo lazima wabunge wapunguzwe posho na Wenza Wa viongozi kulipa ule ni Ukichaa kabisaMkuu, habari za Ohio Street au ulikwishahama?
Huyu mheshimiwa,
1. CV imeshiba
2. Profile imetulia.
3. Walomjaribu wakati ule (wa Covid) waliona ana nyota kali.
4. Basilica approved.
5. Bado title yasimama kule WB kama mchumi mwandamizi.
6. 2015- 2020 umahiri wake ulionekana uchumi ulipaa kutoka 6 hadi 7% na nchi ikatangazwa kuingia uchumi wa kati na WB wenyewe (kwani watambua kazi zake).
Na mengineyo mengi tu khasa kutokana na mtandao wake wa kiuchumi na ubobezi wake.
Niishie hapo.
Rais Dikteta Samia! atakuwa rais wa mwisho kutawala toka ccm,Rais ni Dkt.Samia
Tusidanganyane bila mzungu hatutoboi===
Kama Kuna kosa tutafanyia ni kumuweka 'Chamwino' mtu ambaye anaamini wazungu ndiyo msingi wa maendeleo yetu na si sisi wananchi wenyewe! Ama yule anayeamini wazungu ndiyo pekee Wana nyenzo na upendo usiotiliwa mashaka wakutusaidia kiuchumi na kiteknolojia ili tuendelee Hata kuwapita wao hatua waliyofikia.
Litakuwa kosa kubwa, na hatutaweza kujinasua kutoka kwenye makucha ya ukoloni mambo Leo.
Lissu hana bei mtu wa haki watu wachache sana kwenye dunia ya sasa Lissu agetaka cheo angekua hata AG au Jaji Lissu angejiunga na chama tawalaLisu ni level nyingine kabisa
Watu wanamipango sana ,hii inaweza kua, on my side ,naunga mkono ,alipo ni safe hasa kwa kipindi ichi taifa linapitiaThat arrest at Mbinga Region, some religious People interpreted as an Emergency Rescue for Future use. Now that He is Safe and well protected.
Ya kutujambia hapa JF 24/7Per diem ya nini?
Ni woga wao tu Lissu huwa hapambani na mtu binafsi bali hupambania mfumo na mageuzi kwa ujumla. Hajawahi kuwa na chuki binafsi......amepambania haki, amani, utawala bora maisha yake yoote. Hajawahi kupoa.Lisu ni JPM mwingine kasoro yeye hatopindisha sheria. Ila akielekea kushika nchi kuna wengi watakimbia nchi.
Lissu hachafuki ivyoo Lissu ndo alisaini kuuza Migodi ya Tanzania kwa Wazungu Loliondo kwa Waraabu huyu Lissu ni mwanasheria intelekicho ana Exposure ya kutosha ya Kukaa na Wazungu Mezani mkaweka mikataba mezani wote mkanufaika Lissu sio mroho wa Mali===
Kama Kuna kosa tutafanyia ni kumuweka 'Chamwino' mtu ambaye anaamini wazungu ndiyo msingi wa maendeleo yetu na si sisi wananchi wenyewe! Ama yule anayeamini wazungu ndiyo pekee Wana nyenzo na upendo usiotiliwa mashaka wakutusaidia kiuchumi na kiteknolojia ili tuendelee Hata kuwapita wao hatua waliyofikia.
Litakuwa kosa kubwa, na hatutaweza kujinasua kutoka kwenye makucha ya ukoloni mambo Leo.
Lissu anafaa kua anauelewa wa juu mno juzi viongozi wote wa vyama Upinzani Afrika mashariki walizuiwa kwenda Angola kwenye mkutano walikamatwa Airport wote wakarudishwa Lissu alipenya huyo sio mtu wa mchezo amestaafisha AG Kibao Lissu akiwa Mbunge yu Mungu alishampa KibaliTanzania tungekuwa na wazee wenye kujua kutumia watu Lissu angefaa awe Waziri mkuu au waziri wa sheria
Amenyooka mnoLisu ni JPM mwingine kasoro yeye hatopindisha sheria. Ila akielekea kushika nchi kuna wengi watakimbia nchi.
Rais ni Dkt.Samia
Ulivyo mjinga, last time I checked, hata kwenye uchaguzi wa CHADEMA ulijiapiza hivi hivi na chawa wenzio, lakini mkaachwa mnajikojolea hovyo kwa kutoamini mtu wa HAKI kuwa mwenyekiti mpya wa CHADEMA huku tutusa lenu likiachwa solembaLissu hawezi kutawala nchi hii mwambie aende Ubelgiji akatawale huko kuliko na familia yqke.